NICE LAMECK
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 213
- 28
Anajiita kichaa wa kuzaliwa, munijuze taratibu za kukoma UBUNGE wana JF
Ministry/Political Party/Location | Position | From | To | ||||||||||||||||||||
Chama Cha Mapinduzi, CCM | Secretary - Tarime District | 2006 | 2010 | ||||||||||||||||||||
Chama Cha Mapinduzi, CCM | Assistant Secretary/Accountant | 2006 | 2007 | ||||||||||||||||||||
CHADEMA | Member - National Executive Board | 1995 | |||||||||||||||||||||
Civic United Front, CUF | Secretary - Kawe Constituency | 1992 | 1995 | ||||||||||||||||||||
Chama Cha Mapinduzi, CCM | Secretary |
Mbigili Primary School Primary Education 1980 1987
CCM College Ihemi Certificate 2007 2008
hiyo ndo education profile yake.
nadhani ina relate na akili yake
source ni web ya bunge
Sasa kwa kiwango hicho cha elimu kweli anaweza kuwa mwakilishi wa wananchi wa Mtera bungeni na kushiliki kikamilifu kutunga sheria zitakazoliongoza taifa hili? Si ajabu siku za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa ya zomea zomea toka kwa wanabunge wavivu wa kufikiri maana wengi wao wanapata shida kufanya uchambuzi yakinifu wa masuala muhimu ya kitaifa na utungaji wa sheria. Sasa mtu kama huyo utampatia muswada wa katiba mpya kweli auchambue na kutoa mapendekezo ambayo yataishi kwa zaidi ya miaka 100 wakati uwezo wake unaishia kufikiria namna kikao cha siku kitakapoisha na kupata posho yake. Ipo haja kweli kwenye katiba mpya watanzania kuangalia pamoja na uwezo wa kisiasa wa wagombea na uzalendo wao basi elimu kuanzia shahada ya kwanza iwe kigezo muhimu kwa wagombea wa nafasi ya ubunge na urais ili kupata watu makini watakaotuongoza kweli na sio kutuvuruga kama kina Kibajaj.Mbigili Primary School Primary Education 1980 1987
CCM College Ihemi Certificate 2007 2008
hiyo ndo education profile yake.
nadhani ina relate na akili yake
source ni web ya bunge
Acha masihala bwana, ni ya kweli hayo? kuna mahali nilisoma wengine wanadai alikuwa Houseboy wa John Komba. Hizi kashfa zote amezichokonoa mwenyewe sasa zinamgharimu maana watu sasa wanashauku ya kufahamu wandani wake.Kuna mtu anayemfahamu Kwa ukaribu aliniambia huyu jamaa alikuwa Fundi viatu!
Mbigili Primary School Primary Education 1980 1987
CCM College Ihemi Certificate 2007 2008
hiyo ndo education profile yake.
nadhani ina relate na akili yake
source ni web ya bunge
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo kwenye ofisi ya Bunge zinaonesha alipomaliza darasa la saba alijiunga na ccm college-Ihemi. Huko sijui alisoma nini! Baadae inaonesha aligombea udiwani kawe kupitia cuf, pia zinaonesha alipotoka cuf alijiunga chadema na kurudi ccm. Ccm alipewa ukatibu wilaya ya tarime kabla ya kugombea ubunge jimbo la mtera akiwa ameshikwa mkono na mzee makamba kwenye kura za maoni.
Mbigili Primary School Primary Education 1980 1987
CCM College Ihemi Certificate 2007 2008
hiyo ndo education profile yake.
nadhani ina relate na akili yake
source ni web ya bunge