Panga la Yesu
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 234
- 20
Hata ungekuwa wewe usinge hudhulia shughuli za waasisi wa fujo
Uwe na Evidence ya Fujo ambazo zime asisiwa na Lema/CDM tuweke bayana mkuu na weewe usije kuwa kama Pinda.
Hata ungekuwa wewe usinge hudhulia shughuli za waasisi wa fujo
Siku si nyingi nili post thread iliyohusu Arusha Development Fund - ADF. Nikashauri waangile muundo wa watendaji pamoja na kuweka trustees ambao wanakubalika kwenye macho ya jamii. Sina maana kwamba waliopo hawakubaliki ila bado ni wachanga mno kuweza kushawishi Uma katika mambo ya kuleta maendeleo.
Kulikuwa na hafla ambapo Mh Lema alikuwa anawakabidhi ada wazazi wa wanafunzi 400. Kwenye hafla hiyo viongozi wote wa mkoa walialikwa ila aliyefika ni OCD peke yake na nina hisi alikuja kwa ajili ya kucheki kama mabomu yangehitajika basi aweze kuwasiliana na vijana wake. Ni jambo la kusikitisha sana ila ADF ijiulize ni kwanini viongozi wa serikali hawakufika.
tuache majungu inajulikana kwa nini wana CCM hawakuja haihitaji rocket science kujua siasa ina-overrule hata maendeleo ya kila siku majimboni! kama alichofanya Lema ni kidogo kudharauliwa niambie Mbunge wa CCM aliyeweza kufanya alilofanya Lema kwa uwazi namna hiyo
Duh! Naona BB kasepa into trees! kakimbia bakora! Nani anaitaka CCM siku hizi?
Siku si nyingi nili post thread iliyohusu Arusha Development Fund - ADF. Nikashauri waangile muundo wa watendaji pamoja na kuweka trustees ambao wanakubalika kwenye macho ya jamii. Sina maana kwamba waliopo hawakubaliki ila bado ni wachanga mno kuweza kushawishi Uma katika mambo ya kuleta maendeleo.
Kulikuwa na hafla ambapo Mh Lema alikuwa anawakabidhi ada wazazi wa wanafunzi 400. Kwenye hafla hiyo viongozi wote wa mkoa walialikwa ila aliyefika ni OCD peke yake na nina hisi alikuja kwa ajili ya kucheki kama mabomu yangehitajika basi aweze kuwasiliana na vijana wake. Ni jambo la kusikitisha sana ila ADF ijiulize ni kwanini viongozi wa serikali hawakufika.
Siku si nyingi nili post thread iliyohusu Arusha Development Fund - ADF. Nikashauri waangile muundo wa watendaji pamoja na kuweka trustees ambao wanakubalika kwenye macho ya jamii. Sina maana kwamba waliopo hawakubaliki ila bado ni wachanga mno kuweza kushawishi Uma katika mambo ya kuleta maendeleo.
Kulikuwa na hafla ambapo Mh Lema alikuwa anawakabidhi ada wazazi wa wanafunzi 400. Kwenye hafla hiyo viongozi wote wa mkoa walialikwa ila aliyefika ni OCD peke yake na nina hisi alikuja kwa ajili ya kucheki kama mabomu yangehitajika basi aweze kuwasiliana na vijana wake. Ni jambo la kusikitisha sana ila ADF ijiulize ni kwanini viongozi wa serikali hawakufika.
fujo unazina za CDM angaliua upande wa hao vibaka ccm kuna nini? fikiria kabla ya kusema chizi wewe!Hata ungekuwa wewe usinge hudhulia shughuli za waasisi wa fujo