Mh lema jiulize kwa nini umesusiwa hafla arusha?

Siku si nyingi nili post thread iliyohusu Arusha Development Fund - ADF. Nikashauri waangile muundo wa watendaji pamoja na kuweka trustees ambao wanakubalika kwenye macho ya jamii. Sina maana kwamba waliopo hawakubaliki ila bado ni wachanga mno kuweza kushawishi Uma katika mambo ya kuleta maendeleo.

Kulikuwa na hafla ambapo Mh Lema alikuwa anawakabidhi ada wazazi wa wanafunzi 400. Kwenye hafla hiyo viongozi wote wa mkoa walialikwa ila aliyefika ni OCD peke yake na nina hisi alikuja kwa ajili ya kucheki kama mabomu yangehitajika basi aweze kuwasiliana na vijana wake. Ni jambo la kusikitisha sana ila ADF ijiulize ni kwanini viongozi wa serikali hawakufika.

Wajua pia kuna haja ya Viongozi wote walio alikwa wajuilize pia kwani hilo jambo lilikuwa kwa ajili ya wanajamii wa hiyo wilaya na kutofika kwa viongozi wengine ni kuashiria bado kuna uhasama na siasa za fitna nadani ya wilaya ya arusha mjini hilo liko wazi na siasa za hapo arusha kwa watu tunavyozijua ni za kinafki sana na watu wana umimi sana hapo arusha mjini hata ukiangalia maisha ya hapo bado sana na ndio maana Arusha huwa haipewi jiji inawajanja wengi wao ni kujineemesha mji uko na vichochoro vingi na maendeleo duni maendeleo ni pale mjini ila nje ya mji maendeleo ni ya kupima kwa wananchi wanaoishi hapo.

Pili mwanzo wowote huwa ni mgumu sana na kupigwa vijembe kwa ajili ya kupigania watu wako watu wengi huwa hawapendi unyanyuke na hilo lipo sana hapo arusha matajiri ni wale wale wa siku zote tunao wajua wakina sunda na kadhalika, sasa leo hii kama wananchi wa arusha msipo kaa mkaangalia maendeleo yenu mkasubili ati siku EL anawaitisha watu kuja changia nandio watu waje hivi hapo wewe kama mwanachi wa kawaida hujiulizi kulikoni kwanini walalahoi mumejianzishai chenu ambacho kitawalenga wale wananchi wa chini zaidi hamji kuwaunga mkono basi kumbe ubaguzi upo pia wa Matajiri na maskini au? au huwa wanajipendekeza kwa viongozi wakubwa wajulikanike? huo muda wa kunyenyeke viongozi fulani na fulani wakija ndio twende ni utumwa jamani inatupasa ifikapo wakati wa kujikwamua wenyewe tujikwamue na tusingoje serikali au matajiri fulani waje ndio watutoe.

Na mji wa Arusha unamatatizo mengi sana na yanaitaji very close attention na kuwepo na uzalendo kwani baada ya kutoka Dar Arusha ni mkoa wenye bidhaaa nyingi ambazo ni bei ghari sana.

Lema alishachangisha wakazi wa arusha last year hapa alikuwa anakabidhi akiwa hajawataarifu wale aliowachangisha ni kiasi gani ameshakamata na matumizi ni yapi
 
naomba maranyingine Lema usiwakabidhi hela wazazi wewe nenda kalipe hiyo ada moja kwa moja alafu ufanye hafla ya kuwakabidhi risiti za ada...
tuache majungu inajulikana kwa nini wana CCM hawakuja haihitaji rocket science kujua siasa ina-overrule hata maendeleo ya kila siku majimboni! kama alichofanya Lema ni kidogo kudharauliwa niambie Mbunge wa CCM aliyeweza kufanya alilofanya Lema kwa uwazi namna hiyo
 
Siku si nyingi nili post thread iliyohusu Arusha Development Fund - ADF. Nikashauri waangile muundo wa watendaji pamoja na kuweka trustees ambao wanakubalika kwenye macho ya jamii. Sina maana kwamba waliopo hawakubaliki ila bado ni wachanga mno kuweza kushawishi Uma katika mambo ya kuleta maendeleo.

Kulikuwa na hafla ambapo Mh Lema alikuwa anawakabidhi ada wazazi wa wanafunzi 400. Kwenye hafla hiyo viongozi wote wa mkoa walialikwa ila aliyefika ni OCD peke yake na nina hisi alikuja kwa ajili ya kucheki kama mabomu yangehitajika basi aweze kuwasiliana na vijana wake. Ni jambo la kusikitisha sana ila ADF ijiulize ni kwanini viongozi wa serikali hawakufika.

Wajua pia kuna haja ya Viongozi wote walio alikwa wajuilize pia kwani hilo jambo lilikuwa kwa ajili ya wanajamii wa hiyo wilaya na kutofika kwa viongozi wengine ni kuashiria bado kuna uhasama na siasa za fitna nadani ya wilaya ya arusha mjini hilo liko wazi na siasa za hapo arusha kwa watu tunavyozijua ni za kinafki sana na watu wana umimi sana hapo arusha mjini hata ukiangalia maisha ya hapo bado sana na ndio maana Arusha huwa haipewi jiji inawajanja wengi wao ni kujineemesha mji uko na vichochoro vingi na maendeleo duni maendeleo ni pale mjini ila nje ya mji maendeleo ni ya kupima kwa wananchi wanaoishi hapo.

Pili mwanzo wowote huwa ni mgumu sana na kupigwa vijembe kwa ajili ya kupigania watu wako watu wengi huwa hawapendi unyanyuke na hilo lipo sana hapo arusha matajiri ni wale wale wa siku zote tunao wajua wakina sunda na kadhalika, sasa leo hii kama wananchi wa arusha msipo kaa mkaangalia maendeleo yenu mkasubili ati siku EL anawaitisha watu kuja changia nandio watu waje hivi hapo wewe kama mwanachi wa kawaida hujiulizi kulikoni kwanini walalahoi mumejianzishai chenu ambacho kitawalenga wale wananchi wa chini zaidi hamji kuwaunga mkono basi kumbe ubaguzi upo pia wa Matajiri na maskini au? au huwa wanajipendekeza kwa viongozi wakubwa wajulikanike? huo muda wa kunyenyeke viongozi fulani na fulani wakija ndio twende ni utumwa jamani inatupasa ifikapo wakati wa kujikwamua wenyewe tujikwamue na tusingoje serikali au matajiri fulani waje ndio watutoe.

Na mji wa Arusha unamatatizo mengi sana na yanaitaji very close attention na kuwepo na uzalendo kwani baada ya kutoka Dar Arusha ni mkoa wenye bidhaaa nyingi ambazo ni bei ghari sana.

Hongera Mh Lema. Kuwapatia ada wanafunzi 400 si kitu kidogo.

Mi nadhani viongozi wa Serikali na CCM wa mkoa wa Arusha wangehudhuria kwa wingi kama ada hizo zingetolewa na Rostam, Lowassa, Karamagi, Chenge, Makamba, Jakaya Kikwete, Salma Kikwete au Ridhiwani Kikwete.
 
Viongozi wa ADF

1. Mwenyekiti - Elifuraha - sales attendant vodacom
2. Katibu - Hangi - Accounts clerk - New Arusha hotel
3. Mjumbe - Maglass - Fundi ujenzi
4. Jiwe - Teller Exim bank.
 
mbona unakuwa kamani kipofu? sehemu palipo na CDM wale wa CCM huwa hawaonekani hata kidogo,
kwani nanai asiyejua visasi vya ccm
hata majimbo na halmashauri zilizo chini ya CDM huwa zinapewa pesa kidogo sana
hivyo kwa ccm kutokuja siwezi kuona ajabu hata kidogo
Siku si nyingi nili post thread iliyohusu Arusha Development Fund - ADF. Nikashauri waangile muundo wa watendaji pamoja na kuweka trustees ambao wanakubalika kwenye macho ya jamii. Sina maana kwamba waliopo hawakubaliki ila bado ni wachanga mno kuweza kushawishi Uma katika mambo ya kuleta maendeleo.

Kulikuwa na hafla ambapo Mh Lema alikuwa anawakabidhi ada wazazi wa wanafunzi 400. Kwenye hafla hiyo viongozi wote wa mkoa walialikwa ila aliyefika ni OCD peke yake na nina hisi alikuja kwa ajili ya kucheki kama mabomu yangehitajika basi aweze kuwasiliana na vijana wake. Ni jambo la kusikitisha sana ila ADF ijiulize ni kwanini viongozi wa serikali hawakufika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom