Elections 2010 Mh. Kikwete anaumwa nini na Ulinzi wa Sheikh Yahya

Nashangaa sana lakini ndivyo anavyosema Sheikh Yahya. Ametoa taarifa kwa vyombo vya habari leo akieleza kuwa kuanguka kwa Kikwete pale Jangwani mwezi uliopita kulitokana na kurogwa na mtu ambaye hajamtaja lakini amedokeza kuwa ni moinzani wake kisiasa anayetumia uchawi.
Ametoa onyo akisema kuwa watu hao wasiendelee kumroga kwani pamoja na ulinzi ambao Kikwete anapatiwa na serikali, yeye amempatia ulinzi mwingine ambao hauonekani na atakayejaribu kumroga Kikwete litamkuta jambo ambalo yeye Sheikh Yahya asilaumiwe.
 
Naanza kuliona tangazo la tanzia kwa mwana JF maana ninavyomjua hataacha hata baada ya mkwara huo mzito
 
Huyu Sheikh na chama chake wanapenda sana kutisha watu kama vile wao wanaishi Mars. Kweli akili za kuambiwa...
 
Hii kweli ni serikali ya mashetani, majini na walozi. Haya mambo hatukuwahi kuyasikia tangu Tanzania iwe huru, kwamba kiongozi wa serikali amerogwa. Leo yametoka wapi? Alipoanguka Mwanza na penyewe alirogwa? Alipoanguka jangwani mwaka 2005 na penyewe alimrogwa? Na nani? Who is sheik Yahya by the way katika utawala wa Kikwete? Ndiye anayemzindika? Hatuwezi kuiacha nchi yetu iongozwe na washirikina kama hawa, ndiyo maana mikosi haiishi katika nchi hii, ajali kila kukicha, umaskini kupindukia na majanga ya kila namna yanaiandama nchi yetu, kumbe ni kwa sababu CCM wanatufanya sisi matambiko. Go to hell CCM.
 
wapi umemsikia akisemea tupe source Mkuu, hatutaki umbeya hapa!
 
waziri wa afya alimtaka daktari wa JK aeleze msela anaumwa nini...kumbe karogwa teh teh, siku nyingine akianguka tutamuuliza Sheikh Yahya anatufaa sana watanzania..mpaka baba wa watu waka mzushia ana mdudu na kule Osama huwa anaenda kubadilisha damu kumbe ni uchawi daah wachawi noma wanakuroga kiaina unaangukua kama kuku mwenye kideri.......
 
Hii kweli ni serikali ya mashetani, majini na walozi. Haya mambo hatukuwahi kuyasikia tangu Tanzania iwe huru, kwamba kiongozi wa serikali amerogwa. Leo yametoka wapi? Alipoanguka Mwanza na penyewe alirogwa? Alipoanguka jangwani mwaka 2005 na penyewe alimrogwa? Na nani? Who is sheik Yahya by the way katika utawala wa Kikwete? Ndiye anayemzindika? Hatuwezi kuiacha nchi yetu iongozwe na washirikina kama hawa, ndiyo maana mikosi haiishi katika nchi hii, ajali kila kukicha, umaskini kupindukia na majanga ya kila namna yanaiandama nchi yetu, kumbe ni kwa sababu CCM wanatufanya sisi matambiko. Go to hell CCM.

hivi hapa mshirikina pia si huyu anayeamini haya? maana hata hizi ajali unasema ni mikosi, umasikini ni mikosi nadhani utakuja na tiba ya kuondoa mikosi hii.
 
Hizi ni gharama za kuishi kwenye taifa ambalo viongozi wake hawana utamaduni wa kuwaheshimu wapiga kura wao, kimtazamo na mantiki hili sio suala la kufanyia bla bla hata kidogo wananchi wana haki ya kuelezwa na kueleweshwa kuhusu suala hili. Tumeshazungumza mara nyingi hapa kwamba rais wa nchi ni rasilimali na dira ya taifa lakini kwenye taifa la wasanii kama hapa kwetu kila ujinga unakubalika na wananchi tuko kimya bora liende.
Wenye akili zao malengo yao yanatimia ndani ya ujinga wetu.

Bongo tambalale maisha magumu kwa watanzania walio wengi ndio majaaliwa.
 
wapi umemsikia akisemea tupe source Mkuu, hatutaki umbeya hapa!

Mkuu usiwe na haraka, magazeti ya kesho yatakuwa na news hiyo. Nadhani umesoma kwenye post ya mtoa mada kwamba Sheikh Yahaya ametoa TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. I hope magazeti yatakuwa fair kutujuza alichosema Sheikh Yahaya.
 
Ina maana alipoanguka Mwanza alirogwa na nani aache kuihusisha serikali na mambo ya kishetani. Aliyemroga Kikwete ni yeye huyo huyo Shekhe Yahaya kampa Kikwete majini mengi yamlinde matokeo yake yamemzidi nguvu.
 
Kuna mwana psychologia mmoja aliwahi kuniambia kadri unavyoongelea ugonjwa wa mtu mbele yake ndivyo mgojwa huyo anavyozidi kuzidiwa. Kwa hiyo Shekhe Yahya kuongelea hali ya Kikwete public amezidi kumtonesha na kumsononesha zaidi. Nafikiri hata yeye Kikwete na viongozi wa CCM wenye akili timamu ukiacha Makamba hawatafurahia kitendo hiki, ni punguani tu atakayeshabikia hili.
 
ni dhaifu sana ,ni mgonjwa sijuhu ugonjwa gani ...........

Labda ni ktk yale mafumbo ya Tundu Lissu ,maana washabiki wa CCM ktk ile thread alifumbua fumbo na kuhamaki bin kung'aka.
 
Kama sio kifafa basi atakuwa na damu chafu yaani HIV

.........jamaaa wana picha ya jamaa akiwa US ,anabadilishwa damu...na wamepewa deatils hadi za hospitali hiyo...na anatakiwa kubadilishwa damu kila baada ya miezi sita.....

.........nadhani kama wangeamua kumwaga hizi details ..kampeni..za kuchafuana sijui zingeishia wapi....wanasema ukiwa na nyumba ya vigae ..usirushe mawe....
 
Back
Top Bottom