MH Joseph Mbilinyi Message from facebook.....

Anaetawaliwa na mjinga anakuwaje?

Kwi kwi kwi teh teh teh!

Na anaejiona mtawala uku anaendeshwa na mtawaliwa amambae ni mjinga inakuaje?unajisikiaje kumwona mwelevu haishi kulalamika kua mjinga anamgombanisha na watawaliwa?tafakari
 
Kama una ushahidi kamanda Heche alitesa mtu tena msomi wa chuo kikuu saidianeni mfungue kesi, mbona Heche yupo anaendeleza harakati za M4C??

Hata kesi ya tuhuma za rushwa uchaguzi wa Bavicha ushahidi haujakimilika mpaka leo.
 
Haya ndio yanayochangia umaskini..kila saa wabunge wenu wanawaza starehe tu badala ya kuhimiza shughuli za maendeleo
kazi na dawa. NyinyiEM wanahimiza hizo shughuli? M4C ndio hiyo
 
Vipi tena utaki tena gari kama la Fetty unaona wivu sema mkuu kama unataka mjini hapa watu watakuagizia jipya kuzidi la Fetty.

Naendesha Gari kwa hela yangu ya kudunduliza na si ya kifisadi kama zenu! Hii made in japan inatosha nyie agizeni tu toka uk na mnapandisha kwenye ndege!! Nitasema kweli daima fitna,rushwa kwangu ni mwiko!
 
Anaetawaliwa na mjinga anakuwaje?

Kwi kwi kwi teh teh teh!
Weweee!! tumewashitukia siku nyingi na huo mpango wenu wa kutufanya wajinga kwa shule zenu za kata ili tuendelee kuwa wajinga ili mtutawale vizuri. ndio maana mnajitokeza vifua mbele kutangaza idadi kubwa ya waliofaulu kumbe hawajui kusoma wala kuandika. pia mnakenua meno kwasababu walimu wamekubali kufundisha kwa kinyongo, kwasababu mnajua hawatafundisha elimu nzuri na kwahiyo mbumbu wataongezeka ili lengo lenu la kuifanya tz ni taifa la wajinga lifikiwe. Kumbuka Mungu anaona uovu wenu na majibu ni hivi karibuni.
 
Na anaejiona mtawala uku anaendeshwa na mtawaliwa amambae ni mjinga inakuaje?unajisikiaje kumwona mwelevu haishi kulalamika kua mjinga anamgombanisha na watawaliwa?tafakari

Haki elimuuuuu!!!!!!!!!Ngo..ngoo..ngoooo!!!!!
 
Naendesha Gari kwa hela yangu ya kudunduliza na si ya kifisadi kama zenu! Hii made in japan inatosha nyie agizeni tu toka uk na mnapandisha kwenye ndege!! Nitasema kweli daima fitna,rushwa kwangu ni mwiko!

Najua wewe ni msema kweli ebu tuambie kwa nini michango yote ya Chadema inasimamiwa na watu kutoka Kaskazini.
 
Najua wewe ni msema kweli ebu tuambie kwa nini michango yote ya Chadema inasimamiwa na watu kutoka Kaskazini.

Michango ya CDM inasimamiwa na wanachadema wenyewe,hamna mtu mwenye mamlaka ya fedha za chadema bali wanachama wenyewe! Karibu cdm na wewe uwe msimamizi.
 
Najua wewe ni msema kweli ebu tuambie kwa nini michango yote ya Chadema inasimamiwa na watu kutoka Kaskazini.

Mkuu Ritz,

Unanikumbusha issue ya Dr Walid A Kaburu na Mh Chacha Wangwe, hakuna anaethubutu kuhoji pesa za ruzuku na za wafadhili CDM ni mwiko!
 
Hata kesi ya tuhuma za rushwa uchaguzi wa Bavicha ushahidi haujakimilika mpaka leo.

kamilisha basi wewe kama unao! hivi magamba wanawalipa kiasi mpaka mnakosa hata cha kudanganya umma mnaandika ***** kila siku??
 
Tulimchagua sugu tukijua fika kua kipimo cha Utetezi wa jamii Bungeni na uwakilishi sio Social life stlye au matumizi ya vitu kadhaa ila uwelewa,ufanishi uzalendo na upendo wake kwa jimbo lake ,Kwahiyo kama kunamtu anafikilia sugu hatoshinda tena uchaguzi 2015 kwaajili kwa maneno ya wakosaji (CCM) afikili tena
 
wewe ukachukua hatua ipi au unapiga domo tu?? cdm inasonga mbele moto wa m4c unachoma magamba

Lakini ikumbukwe girba zina mwisho wake, demokrasia ya kweli haiendani na siasa za kuchafuana.Inashangaza pale viongozi wa ngazi ya juu baada ya kusimamia haki wanashiriki katika dhuruma.
 
UMESAHAU Maposho kibao na bajeti zisizotekelezeka. Rais wa angani, migomo ya maDr na maTicha, Bunge la kila ki2 NDIYOOOOO bila kuhoji mechanisms of implenting the plan nk. UMESAHAU Mabwepande library kuwa mafuvu ya watu yamepungua, Na serikali ya ccm imeingia mkataba na kampuni ya Usambazaji wa mafuvu ya binadamu iitwayo TISS & KOVA LTD ili kuleta tani3 za mafuvu hayo pale Mabwepande Library kabla ya 2015?.

Tuliona mwenyekiti akirudisha shangingi mlango wa nyuma akatoka nalo mlango wa mbele. Kwi kwi kwi teh teh teh !

Halafu juzi TUNTEMEKE akatufunguwa macho kutuwekea wazi katibu mkuu anavyochota fedha wanazochangisha wabunge wa magwanda kumjengea nyumba demu wake.
 
Last edited by a moderator:
Alaah hivo hii system ya kutesa watu wanaopingana ma serikali
Mbona ilikuepo mda mrefu?? Karibia kila nchi inafanya
 
Back
Top Bottom