Mh..jirani...

pole,anachomaanisha ni kwamba ukimuita shem mwisho wa cku itakuwa "shemeji kula kaka hayupo" bt mkiitana dada na kaka heshima itakuwepo sana!

I thought this was one of those silent rules...yan imeshakubalika kijamii...
Au wewe charminglady majirani zako wa kiume unawaitagaje..kaka ama shemeji??!
 
Last edited by a moderator:
utanielewaje na ushapofushwa?
cacico...ndo ww nini..icjekuwa we ndo jirani yangu. Haya nambie nn kilichosibu mpaka mmeo aje kunambia vile asubuhi yote hii.
 
Last edited by a moderator:
Eversmilin Gal...hadi wewe mwanangu unnaniwazia hivyo??!

Haha..shem nna nafuu ila mepewa mapumziko so sijaenda kujenga nchi leo.
She is coming right away...

Mmh yule jirani .... mbona mumy cath akiwepo hajipitishi ila nakuammini dady lakini wababa wa siku hizi....
 
Last edited by a moderator:
Mmh yule jirani .... mbona mumy cath akiwepo hajipitishi ila nakuammini dady lakini wababa wa siku hizi....

Aaaah..sasa hapo 'lakini' imeharibbu..
Mwanangu nampenda sana mama yako Catherine ila huyu jirani kanishtua...
 
Last edited by a moderator:
Shemeji pole ! Naona ushapona ww!
Afu niitie basi dadio mwambie leo stoki , nashinda home.
Mpenzi kaka mentor aliiniita mda kidogo sema leo nilipewa kaz
Ila huyo jiran anakichaa huyo hajiamin na akiona my bb mentor super handsome anaona hapa sasa mkewe atamkimbia kuumbe mentor wake cathe na hana tatizo na mtuu
 
Nashukuru Bishanga...bado natafakar cpati jibu. Ila lazima ntamuuliza..

Hehe..ilo nalo neno...basi mi kesi nligoma kununua..nimepandisha mabega huyo nkarudi zangu ndani.
Hahaha hahhaa hahhahahahah!
Bora ulijiondokea na kuwaachia shuzi lao lol!
 
Mpenzi kaka mentor aliiniita mda kidogo sema leo nilipewa kaz
Ila huyo jiran anakichaa huyo hajiamin na akiona my bb mentor super handsome anaona hapa sasa mkewe atamkimbia kuumbe mentor wake cathe na hana tatizo na mtuu

Lol....unanipa bichwa swi..
 
Lol....unanipa bichwa swi..

Sio bichwa dats fact bb kwan uongo na hivo huzeeki bby face hiyo unadhan mchezo akijitazama yeye kama anapuliza moto hehheheehhheheheehhe akuu mwenzangu akutolee nuksi na usile tena futari yao wasije wakanyunyuzia bureeee
 
Mentor mjini hapa wasiwasi kipimo cha akili ama umesahau?
 
Last edited by a moderator:
Dada gfsonwin nimekuta lawama zako kwa yule anayeomba ushauri wa the coming husband mwanamke hana staha yule anahitaji kufundwa

dah! subiri nikupe mchapo sasa yaani alinifika nikataka kumtapika, kanitumbukia nyongo yaani na ivi nlikuwa niko safarini tena nimepanda juu ya viroba lol! nili luzi kontrol yote. basi akjileta pm na mitus akakuta tayari meli ishatia nanga niko ulimwengu mwingineeee nikaishia kujisemea lol! tumbi tumbi, tumbi ya mgongo.

BTW umzima lkn pamoja na familia?
 
si wazima nilimuona lile jukwaa la malalamiko hata hiyo ndoa itamshinda tabia gani za kuanikana jina halisi sasa anaenda kwenye ndoa pasipokuwa na staha ya kutunza siri na tabia ya uvumilivu ban inamnukia kwa alivyokuwa anajibizana na watu huko analo embu ngoja zinduna arudi aandaliwe mdundiko
 
miye nachungulia tu katukana matui baya zaid hana tusi jipya hata moja yote nimeyazoea so nilimwambia alete moja jaipya ambalo hajakopy na kupaste kachemsha, miye nimempa moja akafunga mdomo sijui kafia wapi. anaona jf mahali pa kuja kuleta ujinga hayo anepeleka huko fb
 
kashakoma huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom