Mh..jirani...

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
Asalaam waleikhum wapendwa...
Duniani kuna makubwa jamani.
Si nimeamka zangu leo na kaugonjwa kangu siendi kazini..basi natoka zangu chumbani namkuta jirani yangu apa anaosha vyombo.
Nami kwa heshima na taadhima nikamjulia hali..."za asubuhi shem" ...
Shem:"nzuri vipi hali?"
Mara mshkaji wake katoka nje kabla ata sijamjulia hali kaniambia
"kuanzia leo mimi ndo uniite shem na huyo ni dada yako"
khaaaaaaa....nimeshangaa mjue...kwani tofauti iko wapi?
Au jamani kuna shida gani apo maana mi sijmuelewa...
 
jamaa ana-abiria chunga mzigo wako.....lol

teh...wivu unahusika kwenye mapenz ya kwel...
 
Ndo maisha ya kwetu uswazi yalivyo,
ujue alishakuwekea vikao kibao na huyo mamsabu wake.
we kula taimu yako tu mkuu.

Get well soon.
 
Hao lzm walilazana mzungu wa nne na hapo jamaaa anataka kukuuzia kesi,stuka!!!!
 
angalia asijehamishia makalio kifuani, lol! get well soon Mentor!
 
Last edited by a moderator:
Ndo maisha ya kwetu uswazi yalivyo,
ujue alishakuwekea vikao kibao na huyo mamsabu wake.
we kula taimu yako tu mkuu.

Get well soon.

Inawezekana...haya nangoja atoke nimwulize dadangu mpya kilichomsibu.
Aaauuu...ni kwa sababu hunilitea futari kila siku??!
 
keshakusoma huyo....hajakurupuka!!
kwani vijana mnaaminika tena siku hizi..
 
pole,anachomaanisha ni kwamba ukimuita shem mwisho wa cku itakuwa "shemeji kula kaka hayupo" bt mkiitana dada na kaka heshima itakuwepo sana!
 
Shemeji pole ! Naona ushapona ww!
Afu niitie basi dadio mwambie leo stoki , nashinda home.
 
keshakusoma huyo....hajakurupuka!!
kwani vijana mnaaminika tena siku hizi..

Mhhh BAGAH acha kujisema bana...mi nna heshimu ndoa za watiu aisee...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom