Mh. January Makamba, Nakupongeza kwa hili

Ni wazi wengi waliochangia hii mada ni CDM damu halafu wafupi wa uelewa, mleta mada kaweka wazi nami nakubaliana nae kwamba alivyofanya JM ni kitu kizuri bila kuleta ushabiki wa chama yaani;
1. Kuanzisha ofisi ya maendeleo ya jimbo, ni wabunge wangapi wamefanya hivyo aidha wa CCM au CDM?
2. Kuanzisha free no ili wananchi wake waweze kumtumia kero zao bure kwa kutumia SMS wangapi wanayo hiyo?
3. Wabunge wangapi CDM au CCM wametumia hela zao za mikopo ya magari kuanzisha kitu ambacho wanatarajio kitongeza chachu ya maendeleo jimboni mwao?

Ni vema kama kina sie ambao hatujafungana upande wowote tunaangalia mambo kwa mapana zaidi kuliko kuwa kipofu wa kila kitu cha CCM au CDM hakifai sababu tu kimeanzishwa na mpinzani wako, kweli umaskini wa fikra mbaya sana.

Suala sasa kama ile ofisi ina tija ndio hoja, lakini wazo ni zuri nami pia lanipongeza ingawa hiyo shoo sikuiona.

halow, naunga mkono hoja yako, ingawa natofautiana nawe kweny eneo la ni wabunge wangapi wa cdm wametumia mkopo wao. Kwa tarf nilizo nazo, MH LEMA Ar alitumia takriban m 50 za ule mkopo kuanzisha taasisi ya mikopo kwa akina mama, mh Zitto na kgm dv org yake pia ni miongoni mwa mifano michache. Sasa kama leo nimejua ya mh Januari sina Nongwa kumpongeza
 
halow wana jf,

punde nilikuwa naangalia original comedy, nikaona masanja akimtembelea mh. J.makamba kwenye ofisi yake iliyo jengo la nssf water front. He has an excellent office there. Ni ofisi ya maendeleo ya watu wa jimbo la bumbuli.

I was so amazed kusikia alipopata ule mkopo wa gari alitafuta ofisi akaajiri vijana kwa ajili ya kutafuta fedha za maendeleo jimboni bumbuli!

Mm ni nimemkubali huyu jamaa, wachumia tumbo mjifunze hapa. Wabunge wangu wa cdm, tujifunze hapa tuige yalio mazuri.

Big up hon j. Makamba.

hakuna chochote hapo
 
Big up January Makamba, keep up the spirit. nationalism ideas states from that perception.
 
wamzizima.
1. Nenda hai, utakuta ofisi ya maendeleo iliyoanzishwa na mbowe pia hapa arusha ofisi ya maendeleo imeanzishwa na lema na imejikita zaidi kusomesha zaidi ya watoto 800 wasio na uwezo na mikopo kwa kina mama wenye mazingira magumu, nenda kigoma tagundua zito alichofanyia kupitia mkopo uwo n.k.
2.free number kuwasiliana na wananchi ni layman solution kwani hakuwaomba kura kupitia simu, na pia angekuwa anazingatia izo sms za wapiga kura asingeonyesha chuki na dharau juu ya swala la kutokua na imani na waziri mkuu(jambo ambalo hata jk amekiri kufurahishwa kwani anajua wananchi wanahitaji nini)
3.kuhusu mkopo wa gari anza kufuatilia filikonjombe alichokifanya kupitia mkopo uwo, lema alichokifanya bila kumsahau ndesamburo alichokifanya kupitia mkopo uwo.

Juu ya swala hili sifungamani na chama chochote ila nakosa imani na mradi wowote wa january makamba kwani alishawai kuomba msaada wa kujenga hospitali mkoani mbeya lakini akatafuna pesa hizo na mhisani mwanadada ambaye ni mwanafamilia ya roca fela alipokuja tz kutazama hospital hiyo aliambulia kituko cha mwaka na alipomuuliza makamba alimtukana matusi ya nguoni bila kutoa ufafanuzi wowote.

Point yangu ni kwamba, hata kama wazo ni zuri bado limeanzishwa na mwizi aliyekula fedha za mradi wa hospital na kuwaacha mamilioni ya watz wakitaabika. Ni kipi kitakachomzuia kuiba fedha za misaada ya miradi kama alivyofanya awali??????????????

nakuunga mkono
 
Halow Wana JF,

Punde nilikuwa naangalia Original Comedy, nikaona Masanja akimtembelea Mh. J.Makamba kwenye ofisi yake iliyo jengo la NSSF Water Front. He has an excellent office there. Ni ofisi ya maendeleo ya watu wa jimbo la Bumbuli.

I was so amazed kusikia alipopata ule mkopo wa gari alitafuta ofisi akaajiri vijana kwa ajili ya kutafuta fedha za maendeleo jimboni Bumbuli!

Mm ni Nimemkubali huyu jamaa, wachumia tumbo mjifunze hapa. Wabunge wangu wa CDM, tujifunze hapa tuige yalio mazuri.

Big up Hon J. Makamba.

Nice achievement anastahili pongezi kwa aliyofanya especially kwa wapiga kura wake. Nakumbuka kuna post moja ilitolewa hapa Jf akihojiwa na TBC1 mavitabu kibao nyuma yake Kumbe ilikua kwenye ofisi yake. Nilimpiga dongo kwamba alikuwa library, duh! Anisamehe kwa hili.
 
Mimi binafsi namfurahia January Makamba, sio tu kwa sababu show ambayo nimeona jana kwa TV, lakini mara nyingi nimekuwa nimefuatilia hasa hoja zake akiwa bungeni, ana vission kubwa an uelewa wa kutosha.

Tukiacha ushabiki wa masuala ya chama... huyu jamaa yuko safi. Mimi siwafurahii watendaji wengi ambao wako CCM, wako kuvuna na kuwaacha walalahoi wakina maskini, lakini wapo wachache ambao wanaleta matumaini. Ni mmoja kati ya wabunge wachache vijana wenye uelewa mkubwa. Lakini tukumbuke kuwa nguvu za wachache za kuleta mabadiliko yanayotarajiwa na wengi wetu zinamezwa na walio wengi.

Mabadiliko na matumaini kwa mtanzania wa chini ngumu kuletwa watu watano kati 200. Imekuwa vizuri kwa sasa watanzania wengi wana uelewa, huenda katika uchaguzi ujao tukachagua viongozi ambao watatuletea mabadiliko.

Lakini ni vizuri kutambua utendaji wa mtu binafsi na kuuelezea uzuri wake pasipo kuhusisha chama. Kama ambavyo tunamzungumzia Mh. Mwakyembe na wengine wachache.
 
January ana popular ambition, ana tamaa mno ya publicity. Huyu jamaa nimemdharau toka wiki tatu zimepita bungeni pale.

Nadhani mleta mada ni yeye huyo. KIONGOZI MZURI HAJISIFII KTK COMEDY.
Yaani naipenda CCM kufa! lakini kaka ameniboa sana! yule ameenda kuomba msaada wa kuchangiwa mgonjwa yeye ANAANZA KUMTEMBEZA OFISI NZIMA ! mie nimeshangaa sana! tena kifupi pia NIMEDHARAU!

Maana sioni kama kulikuwa na haja ya kufanya hivo, simply angeomba arushiwe kipindi chke cha BUMBULI katika TBC na kuanza kujitangaza na sio vile, nadhani alikuwa anataka kusend msg kuwa kama kuna wanaoliza kuhusu ile ofisi basi ajue yeye hakununua gari! na inakuwa vipi unaomba mkopo wa gari unaenda kufungua ofisi je security inakuwa gari lile la zamani au?

Tanzania NI ZAIDI TUIJUAVYO, KILA KITU KINAWEZEKANA ! karibuni tutakuwa nasiai wachina maana hakuna kitakachoshindikana!

Long Live Tanzania....
 
Ni wazi wengi waliochangia hii mada ni CDM damu halafu wafupi wa uelewa, mleta mada kaweka wazi nami nakubaliana nae kwamba alivyofanya JM ni kitu kizuri bila kuleta ushabiki wa chama yaani;
1. Kuanzisha ofisi ya maendeleo ya jimbo, ni wabunge wangapi wamefanya hivyo aidha wa CCM au CDM?
2. Kuanzisha free no ili wananchi wake waweze kumtumia kero zao bure kwa kutumia SMS wangapi wanayo hiyo?
3. Wabunge wangapi CDM au CCM wametumia hela zao za mikopo ya magari kuanzisha kitu ambacho wanatarajio kitongeza chachu ya maendeleo jimboni mwao?

Ni vema kama kina sie ambao hatujafungana upande wowote tunaangalia mambo kwa mapana zaidi kuliko kuwa kipofu wa kila kitu cha CCM au CDM hakifai sababu tu kimeanzishwa na mpinzani wako, kweli umaskini wa fikra mbaya sana.

Suala sasa kama ile ofisi ina tija ndio hoja, lakini wazo ni zuri nami pia lanipongeza ingawa hiyo shoo sikuiona.
Msitumie uCCM na uCDM kutafuta excuse ya madudu ya Januari, utasifiaje mbunge kuanzisha ofisi ya kuombea misaada? tena hiyo ofisi haiko jimboni kwake? Huwezi kuwasaidia wananchi kwa kuwapa misaada awahimize wafanye kazi. Hizo free SMS ni utumwa Januari hawafundishi kujitegemea anawafundisha kuwa tegemezi wazidi kumwona yeye Mungu mtu, siku akifa (siombei) nani atawapa hizo free SMS. Mawazo ya FREE FREE tungeachana nayo ni utumwa wa kifikra, hawajui free is expensive? No free lunch in this world.

Anachotakiwa ni yeye kuwa karibu na wapiga kura wake na si kutafuta excuse ya kuwakimbia, kujenga ofisi Dar ni sawa na kuwakimbia. Kwanza hajui alipata kura ngapi i mean hadi sasa ana 0 votes, hana uhakika wale waliokuwa wanahudhuria mikutano yake wangemchagua au watamchagua tena. Badala ya kuwaanzishia ofisi ya kuendeleza utumwa a Beggars office, ningemsifu kama angetumia mkopo wa gari kuanzisha shamba la mkonge au chai na kuajiri wana Bumbuli. Si kila ubunifu ni mzuri kila siku watu wabuni jinsi ya kutuibia.
 
WaMzizima
1. Nenda Hai, utakuta ofisi ya maendeleo iliyoanzishwa na Mbowe pia hapa arusha ofisi ya maendeleo imeanzishwa na lema na imejikita zaidi kusomesha zaidi ya watoto 800 wasio na uwezo na mikopo kwa kina mama wenye mazingira magumu, nenda Kigoma tagundua Zito alichofanyia kupitia mkopo uwo n.k.
2.free number kuwasiliana na wananchi ni layman solution kwani hakuwaomba kura kupitia simu, na pia angekuwa anazingatia izo sms za wapiga kura asingeonyesha chuki na dharau juu ya swala la kutokua na imani na waziri mkuu(Jambo ambalo hata JK amekiri kufurahishwa kwani anajua wananchi wanahitaji nini)
3.Kuhusu mkopo wa gari anza kufuatilia Filikonjombe alichokifanya kupitia mkopo uwo, Lema alichokifanya bila kumsahau ndesamburo alichokifanya kupitia mkopo uwo.

Juu ya swala hili sifungamani na chama chochote ila nakosa imani na mradi wowote wa January Makamba kwani alishawai kuomba msaada wa kujenga hospitali mkoani mbeya lakini akatafuna pesa hizo na mhisani mwanadada ambaye ni mwanafamilia ya Roca Fela alipokuja Tz kutazama hospital hiyo aliambulia kituko cha mwaka na alipomuuliza Makamba alimtukana matusi ya nguoni bila kutoa ufafanuzi wowote.

Point yangu ni kwamba, hata kama wazo ni zuri bado limeanzishwa na mwizi aliyekula fedha za mradi wa hospital na kuwaacha mamilioni ya waTZ wakitaabika. Ni kipi kitakachomzuia kuiba fedha za misaada ya miradi kama alivyofanya awali??????????????

Eh kama ni kweli! basi tuna kazi !
 
What is New or News here?Kuwa na ofisi Water front na kuajiri vijana kutafuta fedha kwa ajili ya Bumbuli?C`oom!Kazi ya Mbunge siyo kugawa pesa kwa wapiga kura au kuwa na Ofisi DSM.
 
Nice achievement anastahili pongezi kwa aliyofanya especially kwa wapiga kura wake. Nakumbuka kuna post moja ilitolewa hapa Jf akihojiwa na TBC1 mavitabu kibao nyuma yake Kumbe ilikua kwenye ofisi yake. Nilimpiga dongo kwamba alikuwa library, duh! Anisamehe kwa hili.
Tusi sifie kila kitu lazima tuhoji, hiyo library na hivyo vitabu viko Bumbuli? au Dar vinasomwa na watalii na kushangaa picha za umasikini wa wana Bumbuli. Wazungu wanapenda sana kuona picha zinazoonyesha umasikini wetu ili watuletee vyandarua wakati wao wakichimba dhahabu.
 
Kuna watu wanaamini kuwa upinzani ni kupinga kila kitu ili mradi kinafanywa na mtawala........
 
mleta mada usiwe mwepesi kudanganywa.........ile ofisi ni ya kawaida sana..

Sasa mtu ni afisa kilimo pale Kiomboi, unategemea angesemaje?? Ofisi ya mtendaji ndo inakimbiza pale. Mpeni Pole huyo Kiresua. By the way, January anafanya wajibu wake, hayo mengine ni swaga zake tu
 
Mimi binafsi namfurahia January Makamba, sio tu kwa sababu show ambayo nimeona jana kwa TV, lakini mara nyingi nimekuwa nimefuatilia hasa hoja zake akiwa bungeni, ana vission kubwa an uelewa wa kutosha.

Tukiacha ushabiki wa masuala ya chama... huyu jamaa yuko safi. Mimi siwafurahii watendaji wengi ambao wako CCM, wako kuvuna na kuwaacha walalahoi wakina maskini, lakini wapo wachache ambao wanaleta matumaini. Ni mmoja kati ya wabunge wachache vijana wenye uelewa mkubwa. Lakini tukumbuke kuwa nguvu za wachache za kuleta mabadiliko yanayotarajiwa na wengi wetu zinamezwa na walio wengi.

Mabadiliko na matumaini kwa mtanzania wa chini ngumu kuletwa watu watano kati 200. Imekuwa vizuri kwa sasa watanzania wengi wana uelewa, huenda katika uchaguzi ujao tukachagua viongozi ambao watatuletea mabadiliko.

Lakini ni vizuri kutambua utendaji wa mtu binafsi na kuuelezea uzuri wake pasipo kuhusisha chama. Kama ambavyo tunamzungumzia Mh. Mwakyembe na wengine wachache.
Hata Ngelega alianza kwa kusifiwa kama unavyomsifia Januari, nyie subiri madudu yakapoanza kulipuka mtamkana wenyewe. Kwanza yeye tayari ana rekodi mbaya kuliko ya wenzake ya kula mkopo wa hospitali. Sikatai anaweza kufanya maajabu ya kubadili nyekundu na kuwa nyeusi but don't trust him 100%.
 
Vile vile ni utumwa kusifia kila kitu kinachofanywa na mtawala.

Mkuu Feedback sijamaanisha usifie kila kitu cha mtawala wala sina maana upinge kila kitu cha mpinzani
Ninamaanisha kizuri kipewe heshima yake na kibaya kipingwe bila kujali utawala wala upinzani..........thats all
 
Last edited by a moderator:
Yeye ana Jina, Unajuaje wabunge wa Upinzani wanafanyaje kupendwa? Haujui anapataje hiyo Mikopo itakuwa kama aliyekuwa waziri wa utalii kwa kiupendeleo.

Tanzania ya sasa ni jina la mtu na sio uhakiki wa kazi; nenda wewe usio na jina na project yako muhimu kusaidia masikini utapigwa chini na benki, weka jina la baba yako from CCM big wigs utapata na zaidi

Mkuu mikopo ya magari inatolewa kwa wabungu wote hata viti maalum. Lkn kwa upeo wa January yeye kamua kufungu ofisi nzuri kupita kiasi. January unastahili pongezi, nimetamani sana shelves za vitabu. Dogo January uko tofauti na kwa mwendo huo utazidi kupaa tu. Big up sana January.
 
ni ujinga kuweka ofisi ya maendeleo sudan wkt nchi husika ni tz. Upuuzi mkubwa.
Hata kama kweli yanafanyika lakini haoni kuamisha maendeleo hayo kutoka dsm to bumbuli ni ufisadi pia. Bora angekaa kimya tu.
 
Back
Top Bottom