Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 9,482
- 14,349
bishoo. Komed wamepoteza uelekeo
kweli mkuu Komedi ni mufilisi, hawana jipya na laana ya EATV itawamaliza
bishoo. Komed wamepoteza uelekeo
Mimi siwezi ku-support ujinga, tunataka wabunge wawe karibu na wapigakura wao, tunataka mbunge a-feel matatizo ya wale anaowaongoza, kama ni ukosefu wa maji auone kama ni umeme wote wakose.Penye sifa pawe sifazake jamanisibora huyu hataatumiambinyakutumiatenojiakuwasiliananawapiga kura wake
Kuna wabunge wengi wa CCM na upinzani kwa mwaka hawatumii hata siku 30 jimbo nina na hawana njia ya kuwasilia na na wanachi ambao hao waanchi wanaijua
Lakini nakubainana wewe issue ya kuwa jimboni .Next Move CAG akague Matumizi ya ofisi za wabunge na Guest regisiter kwenye ofisi zao .
Am sure ripoti ikitoka wataka mabadiliko wote tutashangaa.
Hatutawashangaa wa CCM sababu tunawajua madudua yao bali tuwashangaa CDM
Hujani-convince huwezi kufanya ubunge kwa message za simu he need to be there huo ni ubishororo tu na mbwembwe za ujana. Ni wapigakura wangapi wanaweza ku-afford kuwa na simu hata wakiwa nazo huwezi kutatua matatizo kwa simu hasa katika nchi zetu hizi.
Hakuna anayeta ka kuspport ujingaa Lakini kuna wabunge wangapi wa CDM au NNCCR auCUF wanatuma japo siku 60 katika 360 wilayani achiia mbali jimbonii. Au kuna sheria ya mbunge imewekwa naCCM inawakataza?Mimi siwezi ku-support ujinga, tunataka wabunge wawe karibu na wapigakura wao, tunataka mbunge a-feel matatizo ya wale anaowaongoza, kama ni ukosefu wa maji auone kama ni umeme wote wakose.
Hajiulizi kwa nini yeye na kamati yake ya bunge ya nishati na madini walitaka kumnyang'anya meneja wa Tannesco generator la umeme, kwa sababu walitaka na yeye ayasikie mateso ya ukosefu wa umeme. Wewe uko kwenye ofisi kama ile mnayoisifia jengo la NSSF Water Front unapepewa na viyoyozi, mwana Bumbuli akikupigia simu kuwa umeme haupatikani siku ya tatu leo lazima utamwambia hata mafuta ya taa hayapo, utakuwa umemsaidia au unamwongezea matatizo.
Kweli mkuu Januari anataka kujitenga na wapigakura wake hali hii inaitwa Social Status discrimination au Class discrimination. Ni sawa na Ritz1 kujenga nyumba Manzese na kuizungushia ukuta mrefu katikati ya nyumba za mbavu za mbwa, automatically hiyo ni social status discrimination.Tafakari kwanza ndg yangu,hivi kwa hali ya kawaida mwanambumbuli wa kijijini anaweza kufika kwenye ile office wakati hata kula kwake ni shida?akitumia tu lift si atasau hata kilichomleta?kwa ujumla J.M kajitenga na wananchi wake.
Kwa mfumo tulionao ni vigumu sana kwa mbunge kuisimamia serikali, yeye ni legislature yeye huyo huyo ni executive haiwezekani. Ubunge ni fulltime employment uwaziri ni fulltime employment, kwa hiyo Waziri-Mbunge anakazi mbili ambazo yeye ni fulltime employee, hawezi kuwa efficient kwenye ofisi zote. Ndio maana watu kama kina Januari wanabuni hizi mbinu za kuwa na ofisi tatu tatu, wizarani, jimboni na Dar bila kusahahu Dodoma pia ana ofisi kule. Mimi nasema haya ni matumizi mabaya ya mali ya umma.Naomba nieleweke, simwongelei January ila naongelea mtindo au mkorogo kati ya legislature (bunge) & executive (serikali). Kama wabunge wangeisamamia serikali sawasawa nina amini Tanzania ingeondokana na omba omba kwa wafadhili within 15 years.
unauhakika kalipia mjengo huo?kafuatilie makablasha ndio utajua kama kuna hela imetolewa au amepewa kama fadhila ya jambo fulani...halow wana jf,
punde nilikuwa naangalia original comedy, nikaona masanja akimtembelea mh. J.makamba kwenye ofisi yake iliyo jengo la nssf water front. He has an excellent office there. Ni ofisi ya maendeleo ya watu wa jimbo la bumbuli.
I was so amazed kusikia alipopata ule mkopo wa gari alitafuta ofisi akaajiri vijana kwa ajili ya kutafuta fedha za maendeleo jimboni bumbuli!
Mm ni nimemkubali huyu jamaa, wachumia tumbo mjifunze hapa. Wabunge wangu wa cdm, tujifunze hapa tuige yalio mazuri.
Big up hon j. Makamba.
binafsi nashindwa kuelewa jinsi watu wengine wanavyo fikiri! Kumsifia mtu kujenga ofisi ili kurahishisha kuomba misaada kwa wafadhili? Huku ni kufikiri kizamani.maendeleo ya kwerli huja kwa kufanya kazi kwa juhudi,bidii na maarifa tena kwa kutumia nyenzo za kisasa.kama anawapenda wapiga kura wake basi awafundishe kuvua samaki kuliko kuwapa samaki waliovuliwa na wazungu.watabaki tegemezi milele.ofisi hii ingikuwa imejengwa bumbuli kwa kuwaweka vijava wahimize wazazi kusomesha watoto wao,mimi ningempongeza sana.halow wana jf,
punde nilikuwa naangalia original comedy, nikaona masanja akimtembelea mh. J.makamba kwenye ofisi yake iliyo jengo la nssf water front. He has an excellent office there. Ni ofisi ya maendeleo ya watu wa jimbo la bumbuli.
I was so amazed kusikia alipopata ule mkopo wa gari alitafuta ofisi akaajiri vijana kwa ajili ya kutafuta fedha za maendeleo jimboni bumbuli!
Mm ni nimemkubali huyu jamaa, wachumia tumbo mjifunze hapa. Wabunge wangu wa cdm, tujifunze hapa tuige yalio mazuri.
Big up hon j. Makamba.