Usipoangalia Utaula wa chuya!!
Kwa taarifa yako hao jamaa licha ya umahili wao huo, pia ni 'ma mama huruma' ('baa nitamnyimaje mtu kitu ambacho mungu kanigawia bure?';
Na wa sifa ya kutodumu kwa muda mrefu katika ndoa. Kwao wao kuolewa na kuachwa,kuolewa na kuachwa na kuolewa tena ndio fasheni yao. wenyewe ndoa huita 'Chungu' yaani ukiolewa mara ya kwanza hujihesabu kuwa yupo chungu cha kwanza....chungu cha pili ni kuolewa mara ya pili nk. na anayesifiwa ni yule aliye katika chungu cha juu zaidi , na anayedharauliwa ni yule king'ang'anizi wa chungu cha kwanza... Kwa hiyo msemo kama ' Baa we binti fulani unakaa na huyo bwana muda wote huo kwani ni baba yako....mpaka mnataka kufanana?' Hiyo ni asili na sina shaka kuwa hali ni tofauti kwa wale waliozaliwa na kukulia mikoa mingine.