Mh!..hawa wanawake wa kimakonde..simply the best

Na ni wataalamu kweli wa masuala ya juju...awaulize waliofanya kazi Lindi na Mtwara (na Rufiji kwa Wazaramo)...Kuna jamaa alikuwa mwalimu kule msabato anasema ni sala ndio zimemtoa huko salama (ameamia Dar) ila nina doubt kama aliendelea kuwa mwaminifu kwa mkewe alomwacha Dar...lakini cha kushukuru amerudi maana hawa ukibugi tu chance ya kuzamia ni 99%

nimefurahi kukuona
 
Ila ni kweli jamani. Nilikuaga kule miaka 4hivi ilopita. Wanajitahidinkujituma kwa kweli. Na hata nilivohamia dar ilikua nasafiri mara nyingi tu kuwafata huko. Baadhi ya marafiki zangu walinambia nishapijwa juju lakini la. ilinichukua muda mpaka nilivoamua kuachana nao.
 
we ndo umeongea
 
Back
Top Bottom