Mh.Hawa Ghasia acha kutugawa watanzania kwa mikoa na makabila.!

Mkuki moyoni mazee!!! Huo ndio ukweli bandugu. Mwenye akili timamu atajiuliza kwa nini ngome kuu ya chadema(moshi) kuko shwari na vurugu ziko mikoa mingine?? Wachaga imekula kwenu. Watanzania wamewashtukia na tutawazika nyie na chama chenu

akili kama hizi mgando sana.
kama chadema ni chama cha kichaga mshaurini msajiri akifute.

udini mmeushindwa mmerudi kwenye ukabila. chadema ni taifa kubwa mtahangaika sana.!!
 
Akichangia leo bungeni Mh.Hawa Ghasia amesema chadema wanawivu na mkoa wa Arusha, ndio maana maandamano wanafanyia Arusha tu na sio Kilimanjaro kwao.
nia yao Arusha iwe nyuma kimaendeleo.

My take

ccm wameanza kutugawa kwa ukabila baada ya kushindwa kwa udini.!!

Kwa nchi nyingine maneno aliyoyaongea huyu mama, ni tosha kabisa kumwondosha katika nafasi aliyonayo ya Uwaziri!!
 
Matusi ya nini? Simjibu kwa hoja tu! Huu mtandao wa jf unaweza kupoteza hadhi yake muda simrefu maana siku hizi matusi ndio mtaji na sio hoja

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Kuliko hadhi waliopoteza mawaziri wako ? Kama huyu aliyekuwa ana shabikia ukahaba?
 
Kwa nchi nyingine maneno aliyoyaongea huyu mama, ni tosha kabisa kumwondosha katika nafasi aliyonayo ya Uwaziri!!

kwa Tanzania kupitia ccm kila kitu kinawezekana, ambacho sehemu nyingine duniani hakiwezekani.!!
 
Matusi ya nini? Simjibu kwa hoja tu! Huu mtandao wa jf unaweza kupoteza hadhi yake muda simrefu maana siku hizi matusi ndio mtaji na sio hoja

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

Upuuuzi hujibiwa kwa upuuuzi, viroja vinajibiwa kwa viroja, kwahiyo huyu mama ametoa viroja na yeye acha ajibiwe kwa viroja. Kama hizi ndo nyie ccm mnaona ni hoja basi kubalini kuwa mmefilisika kihoja.
 
Uyu mama nimetaman nimpige ngumi,hawa ndio wadin,wakabila mpumbavu sana,nimemsikia eti chadema hakiharibu mosh kinaharibu mikoa mingine,ccm ni wakabila,wadini sana,wewe mama siku yako inakuja...
 
Uyu mama nimetaman nimpige ngumi,hawa ndio wadin,wakabila mpumbavu sana,nimemsikia eti chadema hakiharibu mosh kinaharibu mikoa mingine,ccm ni wakabila,wadini sana,wewe mama siku yako inakuja...

mkuu labda wanajua Watanzania bado mambulula.
ukweli wananchi wengi wanajitambua na wanajua haki zao.!!
 
Akichangia leo bungeni Mh.Hawa Ghasia amesema chadema wanawivu na mkoa wa Arusha, ndio maana maandamano wanafanyia Arusha tu na sio Kilimanjaro kwao.
nia yao Arusha iwe nyuma kimaendeleo.

My take

ccm wameanza kutugawa kwa ukabila baada ya kushindwa kwa udini.!!

yule mama ni changu amebebwa kuwa waziri anaona amefika hajasikia kauli za nape mchemba kweli madaraka yanalevya ipo siku
 
Kama uko sawa kichwani itafakari vizuri hotuba ya ghasia mkuu utajifunza kitu si bure kunavitu vya msingi ameongea.
 
yule mama ni changu amebebwa kuwa waziri anaona amefika hajasikia kauli za nape mchemba kweli madaraka yanalevya ipo siku
Kwa nini bavicha mnamatusi sana nani kawafundisha kutukana matusi na ile hali mnawazazi.
 
Mwanamke asiye na akili hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe...hawa wamam 2 hawana tofauti na kobe ..wapo juu ya mti ila aliyewapandisha hawamjui na kushuka hawawezi.
 
Hao Watu wa Kilimanjaro wana Mali Kila mahali hadi ulaya .......mji wa Moshi kwa kawaida tangu zamani hakuna Watu ukifika jioni...wakazi wanaishi milimani kuanzia upare,rombo,hadi Siha.....
 
Back
Top Bottom