Mh. Deo Filikunjombe salute...

True!!
Mabbe Zitto asked him to, but thats a punk move right there!!
The dude looks desperate, kneeling down for attention, signing for vote of no confidence, calling out Mwanakijiji on National Tv ..... I bet he'll do whatever Zitto ask him to.

Why do you think Zitto asked him? Do you want to tell us the Hon MP Deo does not have his own reasoning? C'mon,be even realistic,have you ever seen Zitto playing part in M4C from when it started?
 
Lema anasema Dar es Salaam kuna watu milioni 5 nataka kila mmoja atoe 500.

Kasahau kwenye hiyo milioni 5 kuna watoto wadogo, vipofu, wehu, masikini wakutupwa ambao wanaitaji misaada..

Sounds like ur a foooool,U dont even know the concept of average
 
dawa ya mtu mnafiki kama yeye ipo njiani

chama
gongo la mboto dsm

oh my god!! Never let this happen again! Nooo.. Chama i know that dawa is msitu wa pande... Kama ilivyo kawaida yenu. The day will come.. Noooooo!
 
Habari ambazo hazijadhibitishwa ni kuwa Mukama na Nape wako kwenye kikao cha dharula kumjadili Deo na jinsi ya kuwazuia wabunge wengine wa Magamba 160 ambao Intelijensia ya CCM imegundua wako tayari kuchangia M4C.
(joke) tehe tehe tehe!

Mukama na Nape wamekalia kuti kavu kwani baada ya uchaguzi wa chama cha magamba watakuwa hawana kazi ,yaani wanatarajiwa kutemwa kwani wamekuwa MZIGO!!
 
oh my god!! Never let this happen again! Nooo.. Chama i know that dawa is msitu wa pande... Kama ilivyo kawaida yenu. The day will come.. Noooooo!

we are just gonna show him much loves before we lead him to the exit door!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Poor Chama! Are you sure? FYI you have been kissing lots and lots of asses recently for that's the only way CCM can survive...kissing stinking asses of mafisadi left, right and centre, do you want names? I bet you dont!
Waw! Mag3, that is the right answer in the right time to the appropriate person!
 
Naipenda sana siasa yetu ya maji taka!Ni juzi juzi tu huyu huyu Filikunjombe alitukanwa sana hapa mtandaoni mpaka watu wakapost picha yake akiwa amewapigia magoti watoto akiomba kura,leo kuchangia Magwanda ameshapewa cheo cha Ukamanda!Haya jamani endeleeni na siasa zenu sisi watazamaji yetu macho tu.
 
Tunajua unatupenda na hakikika nasi tunakupenda na kukuheshimu. Ahsante kwa mchango wako wa m4c leo hapa serena dar. Tumekukubali mkubwa. Wengine fuateni mkondo. Once again thank you very, very much. Peoples power. Salute.

In the River Between by Ng'ugi: Chege to his son Waiyaki: "Those whitemen are strong, you can not go to war with them without knowing them, just go to their schools (missionary school), learn what they teach but also learn their secrets and that you can be able to lodge war against them"
 
Ndugu Deo Filikunjombe ana busara kubwa,watanzania tunatakiwa kumuunga mkono kwa hali iwayo yote,anachopigania ni maendeleo ya kweli kwa watanzania wote bila kujali itikadi za vyama. M4C inaendelea kuzaa matunda mema,
 
Ndugu Deo Filikunjombe ana busara kubwa,watanzania tunatakiwa kumuunga mkono kwa hali iwayo yote,anachopigania ni maendeleo ya kweli kwa watanzania wote bila kujali itikadi za vyama. M4C inaendelea kuzaa matunda mema,

Busara za unafiki anatakiwa azionyeshe akiwa ndani ya Chadema na vinginevyo!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom