Muda wa Deo ukifika wa kuhamia M4C atafanya hivyo,watanzania tusiwe na mashaka kuhusu hilo,tumpe muda,Busara za unafiki anatakiwa azionyeshe akiwa ndani ya Chadema na vinginevyo!
Chama
Gongo la mboto DSM
i missed that part tanesco walihujumu,.this time lazima wamfukuze mafisadi
Gongo la mboto DSM we kichwa sana nakukubali,yani wewe utumii nnya kufikiria.Swala tunalojadili ni dogo tu na ahame CCM aende popote anapotaka hatuna tatizo kabisa na yeye kuhama tunachokataa ni unafiki !! Kama huelewi tafuta mkalimani; ni lini Zitto alichangia pesa kampeni za CCM najribu kukumbuka sipati jibu
Chama
Gongo la mboto DSM