Mh. Deo Filikunjombe salute...

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,135
13,254
Tunajua unatupenda na hakikika nasi tunakupenda na kukuheshimu. Ahsante kwa mchango wako wa m4c leo hapa serena dar. Tumekukubali mkubwa. Wengine fuateni mkondo. Once again thank you very, very much. Peoples power. Salute.
 
saluti mkuu. Safi sana. Hata CCM wakikuzingua utarudi tu bungeni kupitia M4C
 
Tunajua unatupenda na hakikika nasi tunakupenda na kukuheshimu. Ahsante kwa mchango wako wa m4c leo hapa serena dar. Tumekukubali mkubwa. Wengine fuateni mkondo. Once again thank you very, very much. Peoples power. Salute.

anacho simamia Deo ni nchi si chama, yupo kama Sabodo. ni jambo zuri alilofanya katika kuimarisha demokrasia
 
Big up Deo ! Lakini kwa nini una kaa uko unazidi kuchafuliwa na harufu ya ufisadi.
 
i missed that part tanesco walihujumu,.this time lazima wamfukuze mafisadi
 
DAh, huyu jamaa si mnafiki kama wengine, najua watakuwa wanamuundia tume sasa! Big sana Deo, umeonesha ukomavu wa hali ya juu sana kisiasa!
 
Habari ambazo hazijadhibitishwa ni kuwa Mukama na Nape wako kwenye kikao cha dharula kumjadili Deo na jinsi ya kuwazuia wabunge wengine wa Magamba 160 ambao Intelijensia ya CCM imegundua wako tayari kuchangia M4C.
(joke) tehe tehe tehe!
 
Huyu jamaa ana ukomavu wa kisiasa hilo halina ubishi hata kidogo. Ataendelea kuwa mbunge miaka nenda miaka rudi.
 
Huyu Deo si alitaka kupigana na wabunge wa upinzani kipiindi kilee wametolewa bungeni..labda nw kazoea siasa
 
Back
Top Bottom