Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,597
- 5,788
Leo Waziri wa Sheria Selina Combani kamchana Mh. Tundu Lisu wazir kivuli wa sheria , msemaji wa kambi ya upinzani
Anadai:
1. Lissu ametumia lugha ya uchochezi ktk hotuba yake.
2. Hajaptia hotuba ya wzara kabla ya kuandaa ya kwake.
3.Mh. lissu huwa anakwepa vikao vya kamati ya bunge kwa hiyo hawezi kujua yaliyojadiliwa.mfano kikao kimojawapo alikuwa Nyamongo.
4.Awaasa wabunge wa kambi ya upinzani wa pitia hotuba za mawazir ili kuepuka "madudu" ya mtu mmoja kuwakilisha mawazo ya kambi nzima.
5.Kuhusu kukithiri rushwa mahakamani, anadai hana uhakika ilia atafatilia.
6.Asema Lisu hajatumia Busara, akili n akarima aliyojaaliwa na mungu.
7. Mchakato wa katiba bado.
8.Kuhusu bajet ya Wizara inatosha kama Lisu anaona haitoshi ajazie kutoka kwenye jimbo lake.
Mwisho amesema Lissu ametoa hoja ambazo ni genuine ila nyingne amedanganya.
hayo ni kwa ufupi