Sijaelewa ni kwa nini Mh Selina Kombani ametumia mfano wa kuhamisha kaburi kupisha ujenzi wa barabara kama jibu la hoja iliyotelewa na Mh Lissu kuhusu kuhamisha Jengo la Mahakama kuu ya Tanzania ili kupisha 'Mwekezeji' apanue eneo la maegesho ya magari! Sijaelewa. Mh Kombani karudia hii hoja ya makaburi mara mbili na inaelekea tangu jana wamekaa 'yeye na Werema &co' kutafuta namna ya kujibu hii fedheda wanayotaka kutuletea watanzania.
Taifa huru linajengewa mahakama na mmiliki hoteli?? halafu wanakuja na majigambo kuwa 'tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele? .
Sijui ni vipi lakini ningeshukuru kama wananchi wote wa Tanganzania tungeanza kuchanga ili tujenge jengo la mahakama 'wenyewe' Hivi ikatokea keshi mahakama kuu inayohusisha mmiliki wa hoteli hiyo itakuwaje? Serikali gani hii?
Mh. Kombani hawezi hata siku moja kushindana na Lissu, hawezi! Na kama sio tuition toka kwa Werema leo angeugua kifafa. She wa shaking like a leaf wakati anajibu. Na kuthibitisha kuwa Lissu kawakamata pabaya, zaidi ya nusu ya muda wa majumuhisho ametumia kumjibu Lissu. Ingekuwa Lissu sio kitu angekaa kimyaa but the entire debate ya leo wa about Lissu. Na bado!