Mh. Celina Kombani AMCHANA Lissu Bungeni

Kwenye uchaguzi alipita bila kupingwa yeye kawa nani? huyu ndiye aliyesababisha mgombea wa NCCR Ulanga mashariki kupigwa nondo wakati akirudisha form ya kugombea Ubunge. Kwanza nina wasi wasi na akili zake yaonekana ni punguani msomi hawezi tamka kauli hizo.
 
Hivi huyu dada cndiye aliwahi kusema kuwa hii nchi haiitaji katiba mpya? hivi bado yuko madarakani? Dah! Nchi yangu Tanzania nakupenda lakini
<br />
<br />
naye anapewa sitting allawance. Hii ndiyo Tz kama hautak bas!
 
Selina Kombani hana weledi wowote katika mambo ya sheria kwahiyo asingeweza kujibu chochote cha kisheria toka kwenye hotuba ya Tundu Lisu. Ni kama waziri vuai na serikali yote ilivyoshindwa kujibu hoja za Lema na kuishia kulalamika kwamba Lema anafanya uchochezi. Sasa serikali ya magamba ikikosa hoja ya ku counter dhidi ya wapinzani wanakimbilia kutafuta huruma kwamba hoja za upinzani ni za uchochezi.
Serikali legelege hii taabu tupu.

Ni kweli ushabiki ukizidi ni sawa na profesa bila pesa ni kelele
 
Eeh huyu wama anafikiri kwa masaburi nn....? Mbona haeleweki kabsa..
<br />
<br />

Unauliza jibu? Anatumia Masaburi kufikiri, tatizo kamasaburi kenyewe kamekaa kiupandeupande kama ka Mhindi! Huoni ana mwanya wa chini kama mbuzi?
 
Kombani anajikommba tu, lisu kawapa ukweli, urais wa kifalme hatuuuutaki, rushwa mahakamani si ya kuuliza iko nje nje, muungano ni wa kikenge! Mafisadi hayafilisiwi, nchi gizani, what the hell was she talking about?????
 
Huyu mwanamke alishawahi kusema swala la katiba mpya si la wananchi ni kelele za wapinzani.
Matokeo yake kwenye mjadala UDSM akawa anakenua tu hajui cha kusema.
Leo pia Wassira karopoka ujinga TBC mwisho kaonekana kichaa.
Mawaziri wa JK wachukulieni tu kama walivyo wamechanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom