Wengi wao walikuwa wajumbe wa halmashauri ya ccm ya wazee.Na nadhani waliandaliwa maalumu kwa ajiri ya kupiga makofi na kuitikia chorus ya mipasho/taarabu.
Umesitishwa hadi mwezi wa sita. PM aliwaomba wafanye hivyo. Sasa sijui kipi kitafuata. Sijui watafukuzwa kazi au laa. Ila yote ni tisa, hili la MIGOMO kama Kikwete akirudi tena madarakani, basi atashuhudia MIGOMO isiyo na kichwa wala miguu. Nampa pole.
Kwa mtu mweny busara, akiona kwamba akienda vitani atashindwa, hurudisha majeshi nyuma na kujipanga upya.
Nawashauri wafayakazi kama wanaona wameshikwa pabaya waairisha mgomo na wajipange upya.
Kwa kauli za JK, inaonesha kuna msukumo toka nje unaowafanya wafanyakazi wagome, sijui ni homa ya wapinzani wa CCM au vipi.
Hivyi viongozi wa vyama vya siasa wanasemaje wao kuhusu huu mgomo?
Kama wewe ni mwanajeshi hufai kwenda vitani unaogopa mkwara wa adui na kugeuka nyuma hata vita havijaanza, wanajeshi wa aina yako hupigwa risasi mgongoni aidha na adui au mwanajeshi mwenzake maana hufai.Virungu vitatembea!!!!
Hilo ndilo wengi wetu tunasubiri. Labda wamkamate kabla ya kusogelea mic. Lazima TUCTA itoe maelekezo kwa wanachama wake. Vinginevyo tutasambaratika kwa aibu kama Ma-Profesa wetu walioshindwa kuhimiri vishindo vya kuku. Shame on them!!
WanaJF nimesikia tetesi kwamba Mgaya ataitisha Press conf. leo mchana kutoa tamko la TUCTA mwenye more news please
Niliambiwa uliisha kwa aibu!Hivi ule mgomo wa maprof wa vyuo umeishia wapi?
Umesitishwa hadi mwezi wa sita. PM aliwaomba wafanye hivyo. Sasa sijui kipi kitafuata. Sijui watafukuzwa kazi au laa. Ila yote ni tisa, hili la MIGOMO kama Kikwete akirudi tena madarakani, basi atashuhudia MIGOMO isiyo na kichwa wala miguu. Nampa pole.
Niliambiwa uliisha kwa aibu!
Sina hakika, ila unaweza kuwa sahihi. Ila mimi niliambiwa kuwa viongozi wa wahadhiri ambao ndio walikuwa wanaratibu mgomo walichimbwa mkwara wa nguvu wakajiuzulu na mgomo ndo ukafa kifo cha mende. Niliambiwa kuwa Dr Nanyoro wa UDSM pamoja Prof Assey wa SUA (ambao ndiyo wakuwa viongozi wa umoja wa wahadhiri) waliamua kuachia ngazi.
maprofesa wameonyesha woga wa hali ya juu...walirudi kazini kirahisi mno. walitishwa kuwa mgomo ni batili na kuwa maswala yao yatashughulikiwa wakati wa bajeti. mabadiliko kwa tanzania ni magumu mno. kama wasomi ni cowards je hao kima cha chini? nimeongea na baadhi yao wenyewe wanadai kweli walipotoka walikuwa hawana sababu za msingi za kugoma/hawakujipanga vizuri...it is a shame...at the first place waligomaje sasa...biila kutafakari?? ishu wametishwa kidogo tu wakajua mwisho wa mwezi unaweza pita bila fungu wakafyata mkia!!
Niligoma nikiwa nasoma Chuo sikupata Chochote... zaidi nilijipotezea muda wangu wa kusoma.... Sasa na kazini tena nigome???? Hata! Namuheshimu Raisi wangu!
Niligoma nikiwa nasoma Chuo sikupata Chochote... zaidi nilijipotezea muda wangu wa kusoma.... Sasa na kazini tena nigome???? Hata! Namuheshimu Raisi wangu!
WanaJF nimesikia tetesi kwamba Mgaya ataitisha Press conf. leo mchana kutoa tamko la TUCTA mwenye more news please
Tatizo letu kubwa hatujui haki zetu, tulitegemea maprofessor waliosoma nchi za watu wanatambua sana mambo ya haki zao za msingi. lakini imekuwa tofauti wamekuwa waoga kupindukia na zaidi ya hapo wakawa kama watoto wakaanza kutajana eti flani ndo anataka kuhimiza mgomo! kwa kweli ni aibu kubwa sana. swali la kujiuliza ni nini basi wanawafundisha vijana wetu wanaowafundisha? ndo hao vijana ambao watakuja maofisini na kutii kila kitu.
Tusubiri tuone..... Ila Wakitusaliti najiondoa chama cha wafanyakazi. Bora niwe peke yangu maana haina maana kuwa kwenye umoja wowote.