Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
Watu wanataka kujua kama huduma zimerejea ........... hasa hospitali za DSM,...........sasa nani anaamua kwamba TAIFA linahitaji taarifa hiyo? ni Mshana au nani?........tukisema wachumia tumbo na makanjanja wanalalamika kwamba hawaheshimiwi.niamini TBC inazo taarifa za karibu, ila ila imeamua kuzichagua zile ambazo imeona zinafaa kwa taifa kutangaziwa!