Mgomo wa Madaktari na Wafanyakazi wa hospitali ya Dar group (T.O.H.S) kuanza Februari 14

Aug 15, 2016
47
46
Madaktari na wafanyakazi wa Taasisi ya Tanzania Occupational Health Services (T.O.H.S) maarufu kama Dar Group Hospital wanatarajia kuanza mgomo na kuishinikiza Serikali kupitia wizara zake husika kutoa muafaka na hitimisho kuhusu kadhia ya muda mrefu iliyop ktk hospital hiyo isiyo na mmiliki.

Awali ya yote, taasisi ya Tanzania Occupational Health Services (T.O.H.S) kama jinsi jin lake lilivyo limebeba jina halisi la nchi Tz kama taasisi ya nchi itakayohusika na hudumia za afya wafanyakazi na wananchi wengine kwa ujumla,Kama ilivokua lengo lake la kuanzishwa na ilizinduliwa na aliyekua Rais wa kwanza wa Tanganyika J.K Nyerere.Na eneo hilo ni mali ya serikali tokea enzi hizo japo kwasasa hospitali HAINA MMILIKI (imekua shamba la bibi ) kwa maslahi ya kifisadi ya watu wachache ambao wamekua wakiiendesha kama mali binafsi na kufuja mali za shirika pamoja na unyanyasaji wa wafanyakazi na kukiuka sheria na taratibu za kazi za nchi.

SABABU ZA KUU ZA KUTAKA KUANZISHA MGOMO NI KAMA ZIFUATAZO

Kufatia kifo cha hayati JPM na mabadilikoya uongozi mfano waziri wa afya,Ras Dar na D.C TEMEKE (salute to DC Gondwe aliyesimamia kwa haki kadhia hii mwanzon) wafanyakazi wa hospital hiyo walibaini na kuthibitisha nia ovu na mipango ovu inayofanywa na kuratibiwa na viongozi hao wenye tuhuma kwa kushirikiana na baadhi YA VIONGOZI WA SERIKALI NA VIONGOZI WA OFISI YA RAS DAR ES SALAAM ambao mwanzoni viongozi hao wa afya ofisi ya Ras walikua wamepewa jukumu la kusimamia hopsital hiyo kwa muda mpaka pale report na muafaka utakapo tolewa lakin baada ya muda viongozi hao walianza kufanya vikao vya siri na kuwa kitu kimoja mfano pale ikitokea shida hospital maktari wakienda kureport walikua wakifuzwa badala ya kuskilizwa tena kutishiwa juu na viongozi ofisi ya RAS ,Mpka sasa viongozi hao wote plus wa Ras hawajawahi kufanya kikao na wafanyakazi na CHA AJABU ZAIDi KWASASA WAMEKUBALIANA KWA SIRI MAKUBALIANO YA RUSHWA NA YASIYO HALALI NA KUWARIDISHIA USIMAMIZI TENA VIONGOZI HAWA WABADHILIFU WASISTAHILI KUWEPO (KWA MASLAHI BAADHI YA VIONGOZI MAFISADI WA SERIKALI KUTOKA OFISI YA RAS WANAIHUJUMU SERIKALI YA MAMA SAMIA IONEKANE HAIFANYI KAZI NA IMESHINDWA KUMALIZA KADHIA HIO)

1. KUISHINIKIZA SERIKALI KUTOA MUAFAKA NA HITIMISHO KUHUSU KADHIA ILIYOJITOKEZA NA KUDUMU BILA JAWABU
Kufatia kadhia waliyoibua wafanyakazi mnamo December 2020 ambayo imedumu kwa takriban zaid ya mwaka sasa bila muafaka wala suluhisho

Tunaomba Serikali iingilie kati Hospitali ya Dar Group (T.O.H.S), Mmiliki hajulikani

2. KUSHINIKIZA KUFUKUZWA NA KUCHUKULIWA HATUA STAHIKI KWA UONGOZI MBOVU ULIOPO AMBAO MPAKA SASA HAUSTAHILI KUWEPO

Viongozi hawa hao waliopo ambao wanashutuma za ubadhilifu wa mali za shirika na unyanyasaji wa wafanyakazi kama ilivyothibika ktk kikao baina ya DC Temeke wakati ule na viongozi na wafanyakazi .Referrence .UONGOZI WA SASA HAUNA MORAL AUTHORITY WALA CREDIBILITY YA KUENDELEA KUWEPO .WAFANYAKAZI WANATAKA UONGOZI MPYA.

GGG.jpg


3. SERIKALI KUPITIA WIZARA YA AFYA ITOE TAMKO NANI MMILIKI HALISI WA HOSPITAL NA IUNDE BODI YA WAKURUGENZI
Ktk jambo la ajabu na la hovyo hospital ya Dar Group imekaa kwa takriban zaid ya mwaka mmoja bila ya kuwa na bodi ya wakurugenzi kufatia kuvunjwa kwa bodi fake ya watu 4iliyokua kwa maslahi binafsi ,Lakin mpaka sasa hsptlm hain abodi ya wakurugenzi ??? ipo ipo tu ,na kwanini inachukua muda kupata uongozi mpya pamoja na bodi

4. SERIKALI KUPITIA WAIZARA HUSIKA/TAKUKURU KUTOA RIPOTI YA UCHUNGUZI ULIOFANYIKA (KAMATI ILYOUNDWA KUCHUNGUZA)
Baada ya kadia ile iliundwa tume kuchunguza na majibu hayajoka mpaka leo ilihali ilitakiwa yawe tayar yaeshatolewa tokea mwaka jana, Pia mwaka jana mwishoni TEAM YA HAZINA walifika hospitalin hapo kwa mara nyingine tena baada ya kuchachamaa tena na wakasema watatoa final report ambayo imekua danadana hadi leo.

5. TAKUKURU,WAZIRI WA AFYA MH.UMMY MWALIMU ,DC TEMEKE ,RC DAR ,RAS DAR ,HAZINA NA SERIKALI KWA UJUMLA TOENI HITIMISHO SASA MSIMU ANGUSHE MAMA (HILI SUALA LIMALIZIKE KWA HAKI KAMA LILIVYOANZA WAKATI WA J.P.M KWA SPEED ILEILE)

NB;MGOMO NA SHINIKIZO VITAANZA RASMI TAREHE 14 MWEZI 2 2022 (J3 ) NDUGU WANANCHI MNAARIFIWA KUWA KUANZIA SIKU HIYO HAPATAKUA NA HUDUMA HIVO KWA USALAMA WA NDUGU NA JAMAA KUKOSA HUDUMA MTUMIE HOSPITAL ZINGINE.

Wizara ya Afya Tanzania bwashee2020 Zitto BAVICHA Taifa Chadema Diaspora Ccm chama changu Afyainfo JamiiForums @ccm @ .
 
nimesoma lakini nimeambulia patupu aliye elewa tafadhali atusaidie
Summary:kutakua na mgomo wa DRS na wafanyakazi wa hsptl ya Dar Group ila serikali ili

1.Viongozi waliiopo waondolewe (wanatuhuma mbali mbali fatilia reference zilizopo ktk thread ni muendelezo wa post za nyuma 0 2.Iundwe bodi mpya ya wakurugenzi (hsptl haina bodi kwa takriban mwaka na zaid)
3.Matakwa ya wafanyakazi yatekelezwe
 
Kaka umendika mambo mengi lakini husemi shida ni nini.

Pia unasema hospitali haina mwenyewe huku unasema watu wanafukuzwa kazi, sasa wanfukuzwa na nani?
 
Kaka umendika mambo mengi lakini husemi shida ni nini.

Pia unasema hospitali haina mwenyewe huku unasema watu wanafukuzwa kazi, sasa wanfukuzwa na nani?
huu ni muendelezo shida ilianzia ktk link hizi mbili refer

nathread ya kwnza kabisa

Wallkua wanafukuzwa kazi na viongozi hawa kinyume na utaratibu wa kazi ndio maana kadhia hii ikaibuka ,Pili kuhusu suala la mmiliki iko hivo hopsital haina mwenyewe?mmililiki?owner NDIO WANAHITAJI SERIKALI ITOE TAMKO NANI MMILIKI MAANA MWANZONI SERIKALIILIKUA NA MPANGO WA KUICHUKUA IWE IWE MALI YA UMMA
Hazchem plate
 
Mkuu picha ulizoambatanisha ndio viongoz wanaowakwamisha au ndio viongoz wa mgomo?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hawa ndio wanaokwamisha na ndio wafanyakazi hawawataki ,pia kuna video hiyo hapo link inaonesha kikao baina ya mkuu wa wilaya kipindikile Mh.Gondwe pamoja na viongozi na wafanyakazi wakitoa malalamiko na viongozi hao kukiri kukosea na kushindwa kujitetea
Peramiho yetu
 
Mkuu mi mwenyewe nimesoma sijaelewa kitu,imebidi niache tu

Refer attached links ili uweze kuconnect dotes
Na video link yakilichotea awali ipo mmewekew hapo , summary!heading ni mgomo na sababu zimeorodheshwa , so what else huelewi?
[mention]clinician [/mention]
 
Back
Top Bottom