Mgomo wa mabasi kati ya kilimanjaro na arusha

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Dalili za mgomo huo zilianza jana baada ya upande wa manispaa ya mkoa wa kilimanjaro kuongeza ushuru wa mabasi yanayofanya safari zake mikoani.hali hiyo imesababisha usumbufu kwa abiria kwani naulu zimepanda mara dufu baada ya mgomo huo kwani vijana wa mkowa huu wa kilimanjaro wamezuia hata daladala ziendazo wilaya mbalimbali kufanya safari zake mpaka hapo mambo yatakapo rekebishwa.
 
Kweli serikali ya ccm dhaifu inaona mapato ni kwenye ushuru wa mabasi tuuu... Huku dom hata ukipaki motuary unaona mtu anakufuata na katiketi.... Si waende buzwagi hukoooooo
 
mkuu nipo boma ndo nakuja mo town nataka kufika machame nakwenyew usafiri ni ishu.
jana nilikuwa barabara ya kibosho na usafiri wa kutoka barabara kuu kwenda kibosho mpaka natoka hapo ulikuwa umefika sh/15000= sijajua usafiri wa machame utakuwaje leo
 
Back
Top Bottom