hapo kuna vibarua nenda rudi na wanalipwa hela ya kutupa..yani hii nchi cjui mpaka lini,
Pole mzee. Kumbe unafanya kazi TICTS? mia.ni kweli ticts wamezidi.mtu unafanya kazi za kuingiza mabillion ya hela lakini mwisho wa siku unalipwa laki moja na nusu hadi mbili.wale ticts walichofanya ni kugawa tenda kwa makampuni madogo madogo ambayo yanaajili watu kutokana na kazi zilizopo,hizo kampuni ndo zinanyonya watu.kwa mfano ipo kampuni inayohusiana na ukalani,nyingine ya kupakia na kupakua,nyingine usafi.na pale kinachofanyika ni kubebana tu.na kufukuzwa kupo njenje.poleni.mia