Lyamungo
Member
- Aug 17, 2011
- 91
- 7
Kutokana na mazingira magumu ya kazi ya walimu, madai yasiyosikilizwa, walimu wameanza mgomo kimyakimya kwa kile kinachosemekana kuwa wanaogopa kupigwa virungu. Ukifuatilia utendaji kazi wao hauleti matumaini ( hawafanyi kazi kwa moyozaidi ya kuigiza) matokeo ya kidato cha nne ni ushahidi wa kwanza na maneno yao wenyewe ni ushahidi wa pili.
Jamii na Serikali wanatakiwa kuwasikiliza na kuikwamua elimu
Jamii na Serikali wanatakiwa kuwasikiliza na kuikwamua elimu