Kwanza we ulizani ni ffu wa wapi kama sio cdm, mbona mliwapigania kule bungeni waongezewe maslahi kama sio jamaa zenu??????????????????
kweli ehh, utakuwa mtabiri na msoma nyota wewe, utakuwa dent wa sheikh yahaya wewe
Kwanza we ulizani ni ffu wa wapi kama sio cdm, mbona mliwapigania kule bungeni waongezewe maslahi kama sio jamaa zenu??????????????????
Mkuu Lukansola, sijaelewa ulichokuwa unamaanisha mkuu wangu, kwamba mpumbavu ni mtu wa aina gani na sababu ipi tena?
ndugu pdidy pole sana ndugu yangu najua una hasira km mimi. Ht mi mwanzo niliwalaani sn lkn baadaye nikaja kuwaelewa kwamba hawakuwa na nia ya kuomba msamaha bali ni njaa ndugu yangu.
Hebu firikia mwenyewe, hao watu serikali ilikuwa ndo inawatema wkt washapigika kusoma miaka 5 i.e bila ajira wangeishije? Ungekuwa we ungefanyaje?
So nafikiri ht wao kutoka kumtima hawana nia ya kuomba radhi bali wakiangalia future du!. Hawataki tu kukubali lkn ukweli ndo huo na inawezekana ndo walikujibu hapa jf kwa hasira. Na nahisi walicomment kwa hasira hp jinsia zao ni 'me' bcoz mtoto wa kiume si unajua tena huwezi kukubali kujishusha kirahisi