MAT sio watu kumbe ni wabinafsi kwelikwel, kwa nini wao wanaendelea kufanya kazi na interns ndo wafukuzwe? kwa nini hawajachukua hatua ili mrudishwe kazini?
Propaganda za kijinga bado zinaendelea... yani watanzania upuuzi kama huu ndio tunauweza vizuri mengine hamna kitu
Doomed country!! CCM wakiondoka madarakani nchi hii itarudi mstarini tu
Kama hii ni kweli basi naamini vifo vingi vya wagonjwa vinatokea kutokana na upumbavu wa madaktari, hatuna madaktari wenye weledi unaotakiwa ndio maana wameenda kupiga magoti badala ya kutafuta kazi kwenye nchi nyingine!
MAT wajinga kweli kweli kwanini wamewatosa?
Ulimboka katoswa na hawa njaa imewauma:eek2::nerd:
heeee............ mbona wale viongozi wao hawaonekani pichani,,,,,,,,,,,,,,,, i.e. Dr Godbless na Dr Chitage......... hawaviongozi wapya wametoka wapi tena
No, sikiliza mkuu, zingatia hawa watu ndo tu wameingia kazini hata bado hawjajipanga ki maisha na maisha ni magumu. viongozi wa MAT wao wanafanya kazi na wanaendelea kupata mishahara, hawa hawapati na mtaani doro. kwa nini viongozi kama katibu wa MAT yeye hakufukuzwa? au maana yake wao hawakugoma.Kwani MAT ndiyo waliowafukuza Mkuu? Mbona unawajia juu na kosa si lao?..hawa ni wale walioona uongozi wa MAT haufai, na hivyo kutafuta solution wao wenyewe, kwa sababu ya kutokuwa wavumilivu wenyewe..sasa kesi iko mahakamani, wao ndio wanategemea watapewa msamaha na kurudi kazini ikiwa new intern doctors wako kazini(sehemu yao) tayari?!!!
siasa za maji-taka za ccm
Kama hii ni kweli basi naamini vifo vingi vya wagonjwa vinatokea kutokana na upumbavu wa madaktari, hatuna madaktari wenye weledi unaotakiwa ndio maana wameenda kupiga magoti badala ya kutafuta kazi kwenye nchi nyingine!
OSOKONI kumbuka wewe hata ukienda nje bado ndugu zako watabaki Tanzania. kwa nini mimi nisomee hela ya masikini ndugu zangu Watanzania halafu nikawahudumie raia wa nchi nyingine? tuweni wazalendo jamani fikirieni kidogo nje ya box