zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
nakumbuka hiki kikundi cha interns wasaliti kilianza harakati zake wakati wa mgomo wa mwisho kwa kutuma sms za ushawishi zenye mrengo wa serikali wa kujaribu kuwagawa madaktari kwa misingi ya dini.harakati hizi zilifanyika ndani ya nyumba za ibada.sishangai kuwaona wakija na tamko hili.
Hapa utagundua kuna wawakilishi wa system ndani ya madaktari ambao kwa namna moja au nyingine walikuwa wakivujisha siri za mienendo ya comrade ulimboka.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari hao, Paul Swakala alisema ¡°Tulikaa na MAT kuzun gumza juu ya kutusaidia kutatua kero zetu lakini wameshindwa kutusikiliza na baadala yake tumeamua kufika hapa na kutoa kilio chetu¡±Kutokana na kusalitiwa huko, alitoa onyo kwa Madaktari wengine kuwa wanaweza kupima kama wataendelea kujiunga na MAT au la.Alienda mbali zaidi na kusema, hawako tayari tena kushiriki kwa namna yoyote katika migomo inayoweka rehani maisha ya Watanzania.Alisema, kwa hakika wanajutia kosa lao la kushiriki mgomo na wako tayari kurejea kazini ili kuendelea na kazi ya kuwahudumia Wananchi kwa moyo mweupe.