MGOMO: Madaktari 319 wafutiwa leseni

Interns wengi walifukuzwa kabla ya hotuba ya Rais. Hivyo kugoma kwao si kwa kutokuheshimu hotuba ya Rais na ninaamini interns wengi wako tayari kuendelea na kazi. Lengo lisiwe kuwakomoa. Tuwasaidie wapewe msamaha na kurudishwa kazini. By the way, kujifunza is what internship is for! Wameshajifunza.
Umeongea point kwa mara ya kwanza tangu nikufahamu
 
Naona serikali inashitaki kotekote, Mahakamani, Jeshi la polisi (mabwepande) na sasa Baraza la Madaktari Tanganyika!

Hivi haya mashauri yameisha mahakamani? Kama ni hapana, huko si kuingilia uhuru wa mahakama?

Pia ningetaka kujua nini kauli ya Baraza la Madaktari Tanganyika kuhusu kutekwa na kuteswa kwa Dr Ulimboka? Wanasemaje?
 
Haki yao milioni 7,700,000 kwa mwezi mmeishaambiwa muajiri wako hana uwezo wa kutoa mshahara huo kama mnataka masalahi zaidi ruksa kwenda sehemu ingine wanapolipa vizuri.
wewe mbwiga.....umesoma madai ya madoc ni yepi??? vichaa kama nyie bana ndio mmekomalia madai ya madoc ni hela tu.....sasa tuliza kipago tafiti madai yao ni nn
 
Kama wanaruhusiwa waende huko! Walijifanya kufuata mkumbo kwa kuiga ... kwa tembo, sasa wamepasuka msamba, walipogoma walikuwa wengi sasa kila mmoja atalia kivyake maana hakuna tena "sisi' imegeuka "mie" kila mtu na barua yake ya kufutiwa.

Mi naona ni sawa, ila ili haki itendeke, si intern tu, kwani sheria haiwahurusu waliothibitishwa na wenye leseni za kudumu?

Hapa nahitaji mwongozo wana JF
wenye leseni za kudumu walisoma alama za nyakati na kurudi kazini Lkn mabwana wadogo waliendelea kuonyesha show ndiyo kilichowakuta na hawa wakubwa wamekuwa wakiwatumia kama shield na kuwatanguliza.Ila kitu kama hii ilishatokea huko nyuma watasamehewa baada ya kuomba msamaha na wengi wao watakuwa wamejifunza.Ni Baba wa Taifa tu alikuwa anatimua moja kwa moja na anahakikisha unadhalilika haswa.
 
Waombe Mungu 2015 ifike watarudi wote na wale waliokimbilia nje miaka ya nyuma kuja kutumikia nchi yao. Hii inaweza kuwa temporary casuality ila yenye manufaa ya muda mrefu kwa hiyo vijana wasife moyo wajue tuko nyuma yao na Mungu ataendelea kuwapigania

Nyie ndio mnawadanganya hawa vijana madaktari kuwapa matumaini ambayo hayapo eti wasubiri 2015.
 
usipoteshe umma kama dhaifu anavyofanya wewe kibaraka wa mafisadi RITZ madr wanataka vitendea kazi na sio mishahara huo uongo kawadanganye makada wenu kwenye mataputapu mnayohongwaga na magamba

Madaktari wanayo madai yao 12 dai 1 tu ndio vitendea kazi madai yaliyobaki 11 ni maslahi yao binafsi...ngoja nikusaidie kidogo.

95% Maslahi binafsi 5% Maslahi ya wagonjwa.
 
Hakuna kitu kama hicho, na kama kipo si halali kwani hatuna Tanganyika tangu tarehe 26.4.1964.
Tanganyika Law Society...(TLS)

The Tanganyika Law Society is the Bar association of Tanzania Mainland, founded in 1954 by an Act of Parliament - the Tanganyika Law Society Ordinance, Chapter 344 of the Laws. The Tanganyika Law Society is currently governed by the Tanganyika Law Society Act, Cap 307 R.E. 2002, which repealed the earlier legislation.

The TLS was established with several statutory objectives, including :-

  • to maintain and improve the standards of conduct and learning of the legal profession in Tanzania;
  • to facilitate the acquisition of legal knowledge by members of the legal profession and others;
  • to assist the Government and the Courts in all matters affecting legislation and administration and practice of the law in Tanzania;
  • to represent, protect and assist members of the legal profession in Tanzania as regards to conditions of practice and otherwise; and
  • to protect and assist the public in Tanzania in all matters touching, ancillary or incidental to the law.
The TLS Vision Statement

A society where justice and the rule of law are upheld.
The TLS Mission Statement

To secure sustainable professional development and the integrity of the legal profession; promote and protect the rule of law and access to justice; and champion progressive legal reforms.
In its 2008-12 Strategic Plan, the TLS has identified four broad objectives which it intends to actively pursue:
(A) to build and sustain a solid, efficient and effective institutional basis for the TLS;
(B) to foster a membership base which discharges its professional duties with integrity, diligence and the highest level of ethics;
(C) to enhance access to justice and the enjoyment of rights by individuals and groups in Tanzania; and
(D) to defend the independence and integrity of the judiciary.
You are welcome to peruse the pages of our website for more information about the TLS. You can also visit us at our main office, which is located at 299, Ruhinde Street, Ada Estate, or, are free to contact us by telephone at +255 22 2664254 or by electronic mail on info@tls.or.tz


tp1.jpg
tp2.jpg
 
Umeongea point kwa mara ya kwanza tangu nikufahamu
huyo huwa ana akili.....sema kuna wakati anakuwa kama joni komba.....

Madaktari waliporudi kazini mwezi wa pili niliandika kuitahadharisha serikali kwamba, ingawa madaktari wamerudi kazini, mgomo wao haujaisha. Watu ambao mioyo yao imepondekapondeka kurudi kazini hakuwezi kumaliza tatizo.

Ni bahati mbaya kuwa makosa yaliyofanyika katika kumaliza mgomo mara ya mwisho yanajirudia. Vitisho na kutishia ni dalili za mtu aliyepoteza mwelekeo katika mapambano.

Huwezi kujivunia madaktari wa Jeshi ambao nao wana wagonjwa wao wa kutosha. Madaktari wa Jeshi hawagomi, lakini ni mshahara upi mkubwa kati ya ule wa kijeshi na wa udaktari?

Waliojenga hospitali za serikali wakatenga kuwa hizi zitumiwe na jeshi na hizi zitumiwe na raia walikuwa na fikra kubwa. Una akili gani kutaka kuuvuruga utaratibu huo? Ni kupotoka kunakoashiria maafa zaidi kwa raia na kwa wanajeshi pia.

Je, siyo kweli kuwa ukiwajumlisha madaktari wote, wanajeshi, wa hospitali binafsi na hawa waliogoma nchi bado ina upungufu wa madaktari? Unazibaje upungufu kwa kutumia upungufu? Viongozi wetu wanahangaika sana huku wakifanya kazi ya bure.

Umri wa kustaafu ukifika mtu aliyechoka anapumzika. Kuna akili gani kumrudisha mchovu shambani? Hao madaktari wa kigeni wanaletwa kujitolea? Hawatalipwa?

- Madaktari wanadai vitendea kazi.
- Wamechoka kuona wagonjwa wakifariki kwa kukosa hata oksijen tu!
- Wamechoka kuwalaza wagonjwa chini au kuwalundika katika kitanda kimoja wenye magonjwa tofauti tofauti.
- Wamechoka kuwaandikia wagonjwa dawa ambazo hazipo hospitalini lakini kwenye Bohari Kuu ya madawa zipo.
- Wanadai wanaohusika na ununuzi wa mitambo ya kitabibu kwa bei mbaya, lakini mibovu waondolewe.
- Wanaoruhusu madawa feki waondolewe.

Haya mbona hayasemwi na serikali? Imeng'ang'ania moja tu, madaktari wanataka fedha.

Kuagiza madaktari kutoka nje, hao madaktari watakuja na vitendea kazi vyao? Wataleta madawa yao, vitanda vyao na vifaa vingine? Kesho walimu watakapogoma tutaagiza walimu kutoka nje?

Busara iko wapi hapa?

Tukiendekeza fikra mufilisi kama hizi iko siku tutajikuta tunaagiza hata Rais kutoka nje!

Paschally Mayega
0713 334239

MwanaHalisi

 
Tanganyika Lawyers Society...(TLS)
Ninakubaliana nawe Mkirua, zipo asasi nyengine zinazotumia Tanganyika, mfano Tanganyika International School. Nilitaka kutahadharisha tu kwa sasa tuliyonayo ni Tanzania, na kama ikiwa Tanganyika ipo kihalali, kwa nini kuna watu wanaidai?
 
Last edited by a moderator:
wamewafutia kazi lakini hawawezi kuwanyang'anya ujuzi...
kweli akili ndogo tabuu hawajui dunia ya sasa ni ya soko huria?? dah
 
wewe mbwiga.....umesoma madai ya madoc ni yepi??? vichaa kama nyie bana ndio mmekomalia madai ya madoc ni hela tu.....sasa tuliza kipago tafiti madai yao ni nn

Wewe kweli kauzu hujui chochote...Rais Kikwete amepongezwa kwa kuwa muwazi na mkweli kuhusu msimamo wa serikali yake kutekeleza madai ya madaktari wanaotaka walipwe milioni 7,700,000 kama mshahara na posho zao kwa mwezi.

Usilete mambo ya Chadema kwenye masuala ya afya Daktari wanasema hospitali hazina vifaa halafu wanataka daktari alipwe milioni 3.5 kwa daktari anayeanza kazi sasa fedha zote ambazo zingetumika kununulia vifaa si zitaishia kulipa mishahara na posho zao.

Wewe pitia madai 12 ya madaktari kwenye madai yote dai 1 tu ndio wameomba vifaa madai yote 11 ni maslahi ya binafsi.
 
Kuna aina tatu ya leseni 1. provisional - inatolewa kwa interns, ni ya miezi 12 na katika kituo kimoja tu 2.temporary- inatolewa baada ya kumaliza intern na inatumika kwa miaka miwili 3. permanent - inatolewa baada ya kupractice miaka miwili.

Imefika wakati watu wa JF tuanze kuchangia kunakuweza kuwasaidia interns wahusika na sio kubwabwaja tu. Kubwabwaja hakutamsaidia yeyote kati ya waliofutiwa leseni. Kumbuka kwako wewe hii ni habari tu, lakini kwa aliyefutiwa leseni hili ni tukio la kukumbwakwa maishani.
Wameze kiburi chao na wawaombe radhi watanzania kwa utovu huu wa nidhamu walioonyesha.
Kama wanataka kuajiriwa ni vizuri wakafuata taratibu za muajiri , hiyo mob psychology wanayoionyesha itawaumiza wao hasa wale madkatari waliosoma kwa kuunga unga.

It is not too much to ask, just repent.
Wengine tumeshafahamu kitakachojiri hata baada ya kuomba radhi.
JKT ili kurudisha nidhamu.
La sivyo Kilimo Kwanza is not a bad alternative.
 
Swali MOJA Rahisi sana kwa JK, watakao wareplace hawa watatoka wapi...kama ni nje ya nchi watalipwa kwa pesa ipi..kama ni ndani ya nchi..kwanini hawakuajiriwa kabla??
 
interns huwa hawana liseni... Serikali sasa iache ujinga wa kuhadaa kwani wananchi watajua inawahadaa na chuki itaongezeka

leseni yua practice hutolewa baada ya dr kumaliza intern na kufanya kazi miaka miwili na kuendelea na kupata approval

this is another cheap lie to people


ukisoma habari vizuri kuna mahala wameandika usajili wa muda
 
Back
Top Bottom