Kadu
Member
- Jan 12, 2011
- 20
- 15
- Thread starter
- #101
Umeongea point kwa mara ya kwanza tangu nikufahamuInterns wengi walifukuzwa kabla ya hotuba ya Rais. Hivyo kugoma kwao si kwa kutokuheshimu hotuba ya Rais na ninaamini interns wengi wako tayari kuendelea na kazi. Lengo lisiwe kuwakomoa. Tuwasaidie wapewe msamaha na kurudishwa kazini. By the way, kujifunza is what internship is for! Wameshajifunza.