Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 22,795
- 20,040
Leo Babati Mjini.
Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu kuanzia leo Oktoba 18, 2020 ataanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta
Chanzo: BAVICHA TAIFA
Asanteni Babati
Tukutane 3010 kujipongeza...
Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu kuanzia leo Oktoba 18, 2020 ataanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta
Chanzo: BAVICHA TAIFA
Asanteni Babati
Tukutane 3010 kujipongeza...
Chadema haitanii ndivyo tunavyoweza kusema.Kama Kuna aliyedhani Tundu Lissu anabeep alikosea Sana.
Zikiwa zimebaki siku 10 kupiga Kura Chadema imezidi kushangaza wapinzani wake.
Mgombea wake wa Urais Tundu Lissu ameanza Rasmi Leo kutumia Chopa ili aweze kufika katika maeneo yote yakiyobaki yenye idadi kubwa kwa wapiga kura.
Kwa mujibu wa tafiti kadhaa mgombea wa Chadema Tundu Lissu anatarajiwa kupata ushindi wa zaidi ya asilimia 60%
Tundu Lissu amepata ufuasi mkubwa kutoka kwa Wafanyakazi na Wafanyabiashara.Wafanyakazi wakiwa wanalaani sheria Kandamizi na Haramu iliyopitishwa na serikali ya CCM kwamba anapoacha kazi ya kuajiriwa mtu hata Kama ana miaka 30 ni sharti asubiri afikishe miaka 60 ndipo apate haki yake ya mafao.
Kuhusu wafanyabiashara wengi wanalaani Kodi kubwa na wafanyabiashara ndogondogo kuuziwa vitambulisho vya elfu 20.
Lissu ameapa akiingia madarakani atafutilia mbali sheria zote Haramu na Kandamizi kwa wananchi
View attachment 1604134View attachment 1604135View attachment 1604136