Mgombea Udiwani Daraja Mbili (CHADEMA) akimbizwa KCMC

rama kalamba ni kada mzuri tu wa ccm baada ya kutolewa nccr wakati ule wa mrema na magamba kwa kuwatumia hao hao policcm .sasa naona kalewa sifa anadhani anaweza kufanya lolote kwa mtu yoyote bila ya kupelekwa popote namshauri aangalie upepo vijana wa sasa si wale wa zamini enzi za kumsukuma mrema .
 
Hawa policcm akili zao hazina akili.
Walianza hivi hivi kumpiga Lema wakidhani wanamdhibiti matokeo yake wakajikuta wamempandisha chati hadi wanashindwa tena kumgusa sasahivi.
Na kamanda Msoffe hawa policcm wamemsaidia kampeni ya udiwani darajambili, anachosubiri ni kukabidhiwa hati ya ushindi hapo tarehe 28/10/2012.
Tunamuombea kwa mwenyezi Mungu apone haraka ili aanze rasmi kuwatumikia wananchi wa daraja mbili.
 
Back
Top Bottom