Mgombea Udiwani Daraja Mbili (CHADEMA) akimbizwa KCMC

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,134
13,253
- Ni bw. Msoffe aliyepigwa jana jioni wakati akizuia wamama wasiporwe bidhaa zao.
- Jana alilala polisi bila dhamana na leo wakampeleka mahakamani ila hakuweza hata kusimama. Akaandikiwa aende Mt Meru Hospital, police wakakataa Mbowe akafanikisha.

Pray 4 him
 
JAMANI BALAA GANI TENA?? IVI UKOMBOZ WA NCHI II UNAWEZEKANA?? LKN NAAMIN MUNGU YUKO UPANDE WETU ATAPONA NA ATARUDI KTK HARAKAT. POLE SANA BRAZA AND GET WELL SOON HON. MSOFFE. UDIWANI HUO NI WAKO MAGAMBA WATAISHIA KUPEPESA NA KUTOA MIMACHO Tu
 
huyu anaweza kutusaidia mbeleni anaonekana ni kamanda wa ukweli...viongozi wa chadema matamko yatakoma lini mturuhu kuwa winda hawa ma**** wa ccm
 
Mungu ninayekuabudu kila siku,Muokoe huyu mtu, maandiko yatimie,tuingie nchi ya ahadi kuliko hii nchi ya viongozi wapanda farasi.Naomba niweke hai mpaka 2015 amina.

Dai haki yako mtanzania.
 
huyu jamaa mjinga sana yaani hajui kwamba kuwazuia police kutekeleza wajibu wao ni kosa, watu wengine bwana!!! alikuwa anatafuta umaarufu wa kijinga.
 
huyu anaweza kutusaidia mbeleni anaonekana ni kamanda wa ukweli...viongozi wa chadema matamko yatakoma lini mturuhu kuwa winda hawa ma**** wa ccm

mkuu tuliza boli. Haina haja ya kuwawekea ubabe. Ukiona tawala yoyote inajikita kt vitisho. Ubabe. Mauaji kwa wapinzani jua dalili mbaya kwao kwani ndo kufall uko. Ccm inaanguka na kisha tutaizika
 
Tatizo sio police ila viongozi wanaotoa order hivyo vitu vifanywe kama tujuavyo police hakatai amri

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
huyu jamaa mjinga sana yaani hajui kwamba kuwazuia police kutekeleza wajibu wao ni kosa, watu wengine bwana!!! alikuwa anatafuta umaarufu wa kijinga.

Naomba uelewe hakupigwa na polisi bali kada maarufu wa CCM.
 
Back
Top Bottom