Kwanini serikali imejitutumua haraka katika sakata la ziwa nyasa dhidi ya wa Malawi wakati huohuo ikilinyamazia swala la uvamizi wa kigamboni wanaotaka kuwahamisha wazawa pasipo kufata sheria za nchi kwa kisingizio cha kuanzisha mji mpya?
Hii ishu ya Malawi ni ngumu sana, tena sana. Ni suala linalogusa jamii ya kimataifa moja kwa moja. Bora kujiibia au kushiriki kula mali yako ya wizi kuliko mali yako kuliwa na mtu kimabavu. KUMBUKA SERIKALI ILIAPA HADHARANI KUILINDA KATIBA NA MIPAKA YA NCHI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.