Mgao wa umeme usiguse siku za ibada

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Ujumbe kwa Wizara ya Nishati, Bodi na Menejimenti ya TANESCO.

Siku 3 za ibada Ijumaa, J'mosi na J'pili ziondolewe kwenye ratiba ya mgao.

Kama binadamu wa kawaida mwenye kufikiri, tunapata hisia kuwa katakata za J'mosi na J'pili (ambazo sizo siku za mgao) ni za makusudi ya kuleta fair play dhidi ya Ijumaa ambayo ni siku ya mgao.

Kisayansi haishawishi reasonable mind (akili timamu) kwamba itilafu za kukatika umeme zinasubiri tu siku za ibada zisizo za mgao za J'mosi na J'pili

Kuhisi siyo dhambi ni uumbaji usiokwepeka.

Siku 3 za ibada Ijumaa, J'mosi na J'pili ziondolewe kwenye ratiba ya mgao.
 
Back
Top Bottom