Mganga anasema ili Wawe Mabingwa wakubali Kiongozi Wao Mmoja au Mtu wao maarufu Afe kama Kafara

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,732
118,273
Klabu nyingine moja kubwa mara Nne ilishafanya hivi katika Mechi Ngumu za Kimaamuzi na Viongozi wake Maarufu Watatu Kufariki Wiki Moja kabla ya Mechi na Mmoja wa Shabiki wake Maarufu nae Kufariki na walipocheza hizo Mechi zao zote walishinda.

Hivyo basi hata na Wenzao hivi sasa nao Wanahaha kwa Kuroga ili wafanye Maajabu Afrika na tarehe 3 June, 2023 ila tatizo Wataalam (Waganga) Wao wamesema ili wafanikiwe Kuipindua Meza nzito ya Kiarabu wakubali Mmoja wa Viongozi wao au Shabiki / Mtu maarufu atolewe Kafara la Kupoteza Maisha (Kufa ) Matokeo yake sasa kila Kiongozi anakimbia na hataki kukutana na hao Waganga wa Kienyeji Wao wakiogopa Kutangulizwa Kaburini kwa Mafanikio ya Timu yao inayotaka kuweka Rekodi Afrika.

Na unaambiwa / mnaambiwa kuwa Mtu Wao Mmoja (mwenye Rangi Nyeupe ya Kimatatizo) Yeye tokea akiwa upande wa Pili katika Mechi Kubwa kama hii au ile ya Wao kwa Wao huwa hataki kabisa kuwa Jurani na Klabu (tena hukimbia kabisa Mjini) kwakuwa anajua kwa Rangi yake Nyeupe ya Kimatatizo akitumika kama sehemu ya Uganga / Uchawi hiyo Timu itafanikiwa kwakuwa Yeye ni Chakula cha Mizimu na Majini Kiushirikina
 
Tuta kutoa wewe uwe kafara badala ya kiongozi wetu yeyote,kwani hatuamini katika uchawi,na pia mwacha Naraboy ale raha,,🤔Simlimfukuza wenyewe🤸🤸🤸
 
Klabu nyingine moja kubwa mara Nne ilishafanya hivi katika Mechi Ngumu za Kimaamuzi na Viongozi wake Maarufu Watatu Kufariki Wiki Moja kabla ya Mechi na Mmoja wa Shabiki wake Maarufu nae Kufariki na walipocheza hizo Mechi zao zote walishinda.

Hivyo basi hata na Wenzao hivi sasa nao Wanahaha kwa Kuroga ili wafanye Maajabu Afrika na tarehe 3 June, 2023 ila tatizo Wataalam (Waganga) Wao wamesema ili wafanikiwe Kuipindua Meza nzito ya Kiarabu wakubali Mmoja wa Viongozi wao au Shabiki / Mtu maarufu atolewe Kafara la Kupoteza Maisha (Kufa ) Matokeo yake sasa kila Kiongozi anakimbia na hataki kukutana na hao Waganga wa Kienyeji Wao wakiogopa Kutangulizwa Kaburini kwa Mafanikio ya Timu yao inayotaka kuweka Rekodi Afrika.

Na unaambiwa / mnaambiwa kuwa Mtu Wao Mmoja (mwenye Rangi Nyeupe ya Kimatatizo) Yeye tokea akiwa upande wa Pili katika Mechi Kubwa kama hii au ile ya Wao kwa Wao huwa hataki kabisa kuwa Jurani na Klabu (tena hukimbia kabisa Mjini) kwakuwa anajua kwa Rangi yake Nyeupe ya Kimatatizo akitumika kama sehemu ya Uganga / Uchawi hiyo Timu itafanikiwa kwakuwa Yeye ni Chakula cha Mizimu na Majini Kiushirikina
Wamtoe Haji Manara itapendeza zaidi kwani ana kiherere sana na Yanga
 
Back
Top Bottom