Mfungwa katoroka gerezani!!

Susy

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
1,431
221
Wakiwa kitandani kwa mara ya kwanza Bibi harusi alimwambia bwana harusi” Honey unajua mimi bado bikra kwahiyo sijui chochote kuhusu mahaba/mapenzi. Unaweza kunielezea nini chakufanya kwa mara ya kwanza?“Sawa Honey ni jambo rahisi sana” akajibu bwana harusi. Sasa ni hivi…hizo sehemu zako za siri tuziite GEREZANI na zangu tuziite MFUNGWA.


Tutakachofanya sasa ni kumuingiza MFUNGWA GEREZANI... bi harusi akajikuta anafanya mapenzi kwa mara ya kwanza.


Baada ya shughuli hiyo nzito Bwanaharusi akalala chali huku akitabasamu kwa ridhiko alopata. Mara akamsikia bi harusi akimtonya; “honey naona MFUNGWA katoroka GEREZANI” Bwanaharusi akamgeukia bibi harusi wake kwa tabasamu na kusema "Itabidi tumrudishe tena GEREZANI!"


Baada ya round ya pili jamaa akataka kuamka ili avute sigara yake wakati bi harusi aki-enjoy experience yake mpya katika mapenzi. Kabla hajatoa mguu wa pili kitandani Bi harusi akamgusa mumewe huku akitabasamu na kusema “Honey MFUNGWA ametoroka tena” jamaa ikabidi akubali kumrudisha Mfungwa Gerezani.


Mchezo ukawa hivyo hivyo mfungwa akitoroka anarudishwa Gerezani hadi jamaa akawa hoi bin tabaani, jamaa akawa amechoka hadi miguu ikakosa nguvu! Kila akifikiria sasa atapumzika mara anasikia sauti "Honey MFUNGWA katoroka tena"



Mwishowe jamaa akashindwa kuvumilia akamjibu kwa ukali


"Alaaaaa! huyu MFUNGWA hajafungwa kifungo cha maisha ati!!!!!!!!!!!!"
 
kweli ni noma,mtt wa kike kila saa anataka tu

:lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:
 
Hahahahhahahahhahahahhahahahahahahahhahahhhaahahhaahahahhahahahahahahahhahahahahahaaaaaaahhhhhahahahahahahaahahahaha,Inatosha.
 
Mzoefu tena sana, ila kwanini Jamaa akumwambia mfungwa kamaliza kifungo.
 
tih.....tihi ......tih..................................iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
jamani msivunje mbavuuuu!!! mie naona huyu binti alikuwa mzoefu sema aliamua kutumia mchina!!
 
Back
Top Bottom