Mfungo umeanza...!!!!

Utawala huu ndio unaotakiwa,maana katika katiba tunaambiwa kuwa nchi yetu haina dini........na Rais wa awamu ya pili alishawahi kutuambia Ruksaaaaaaa,anayetaka kula chura ruksaaaa,anayetaka kula...........................Ruksaaaaaaaaaaaaaa.....

Naam ..... Naaam mwisho wa siku kama hamnielewi basi LIWALO NA LIWE.
 
Haya yote ni mapenzi yangu kwako ndio yananipelekea kufanya hivi usijesema leo sikushiba kabisa nilipomtembelea mtakatifu.....

Kwa watakatifu kama wewe nilitegemea kupata St. Anne au St Emmanuel au Hata Ka- Maltin Cinzano na siyo konyagi/gongo kama ile ya Kigogo bana. Utakatifu wako nitauundia tume
 
Kwa watakatifu kama wewe nilitegemea kupata St. Anne au St Emmanuel au Hata Ka- Maltin Cinzano na siyo konyagi/gongo kama ile ya Kigogo bana. Utakatifu wako nitauundia tume

Nimekusikia...na nimezingatia..

GrahamCompleteTawnyRange_1@newsdetail.jpg
 
Back
Top Bottom