Mfungo umeanza...!!!!

Watu wamekula mboga yoote na kuacha mindizi in 5 minutes only

DSC06052.JPG
 
Watu wamekula mboga yoote na kuacha mindizi in 5 minutes only

DSC06052.JPG



Huku sasa ni kutomtendea haki mkulima ina maana kazi yote aliyoifanya ya kustawisha ndizi imezidiwa na mfugaji...siku nyingine nikaribishe kikaoni niwe mwamuzi wa pambano inaelekea kuna mtu hapo alikuwa anacheza rafu...
 
Nimefanya kuzingatia Itifaki pamoja na Sera ya Utawala Bora



Utawala huu ndio unaotakiwa,maana katika katiba tunaambiwa kuwa nchi yetu haina dini........na Rais wa awamu ya pili alishawahi kutuambia Ruksaaaaaaa,anayetaka kula chura ruksaaaa,anayetaka kula...........................Ruksaaaaaaaaaaaaaa.....
 
Back
Top Bottom