Mfumo wa technologia wa KILAKONA SCHOOLS na faida zake katika elimu Tanzania

Jan 11, 2021
32
67
toka kupata uhuru wa nchi yetu mwaka 1961 mpaka sasa kama nchi tumepitia mabadiliko makubwa sana kwenye swala la elimu, mabadiliko hayo yapo ambayo yamekuwa na faida kubwa na mengine yameleta hasara na kuporomosha elimu yetu kwa kiwango kikubwa, katika siku za hivi karibuni wahitimu wengi wa ngazi mbalimbali za elimu wamekuwa wakishindwa kuonesha uwezo wao na maarifa waliyojifunza darasani.

tatizo la watoto na vijana wetu kushindwa kuzitendea haki elimu zao linasababishwa kwa kiwango kikubwa na mabadiliko ya tekinologia ambayo yamesababisha miundo yetu ya elimu kuwa ya kizamani hivyo elimu yetu kushindwa kukopi na mazingira ya sasa hii ndio sababu KILAKONA SCHOOLS kama tekinologia ya elimu inakuja na suluhisho la kweli la elimu yetu kuanzia ya awali, msingi na sekondari hasa katika kipindi hiki cha dunia ya tekinologia.

KILAKONA SCHOOLS ni nini?
huu ni mfumo wa kisasa unaowezesha mwanafunzi, mwalimu na mzazi kushirikiana kwa pamoja kupitia tekinologia katika kuhakikisha ustawi wa mtoto kitaaluma, talanta huku mtoto hakiwa na ulinzi wa uhakika toka anapoondoka nyumbani, akiwa shule na pindi anapotoka shuleni hadi anapofika nyumbani.

chart.jpeg

tekinologia hii ya KILAKONA SCHOOLS uweza kutumika kupitia shule ambayo ndio huwa kama waongozaji mfumo huu wakishirikiana kwa karibu na wataalamu wetu kuhakikisha elimu inatolewa kwa kutumia tekinologia ya kisasa.
zipi faida za tekinologia ya kilakona schools katika elimu yetu.

mwanafunzi wanaweza kupata faida zifuatazo.
i. usalama na ulinzi kwa mtoto/mwanafunzi- kupitia mfumo huu mwanafunzi anahakikishiwa ulinzi wa uhakika kupitia kadi maalum ambazo mzazi, mwalimu anaweza kumfuatilia mtoto mahali popote kupitia simu janja na komputer.
ii. mwanafunzi anaweza kusoma online na kwenda live hewani kwenye kipindi darasani, discussion bila kupitia third part mfumo unajitegemea.
iii. utunzaji kumbukumbu za masomo, mazoezi darasani, mitihani matokeo yote kwa miaka yote awapo shuleni.
iv. kupata mazoezi ya darasani (homework) baada ya muda wa shule kuisha
na faida nyingine nyingi..

faida kwa shule baada ya kutumia na tekinologia ya kilakona:
i. kupata tekinologia hii bure
ii. kupata website ya kisasa bure
iii. kupata mfumo wa uendeshaji na data yaani management information system utakaokuwa na vipengele muhimu kama
-administration,front office, accountant, staff, academic na n.k
iv. mawasiliano na wazazi kuimalika (mzazi upata notification kwa sms kwa mambo yote muhimu yanayomuhusu mwanae shuleni.)
v. ufaulu kuongezeka... pamoja na faida nyingine nyingi

faida kwa mzazi baada ya kutumia na tekinologia ya kilakona:
i. mzazi ataweza kumlinda na kujihakikishia usalama wa mtoto wake kwa kumfuatilia shuleni kupitia devices mbalimbali km simu ata awapo kazini.
ii. kupata maendeleo ya taaluma ya mtoto kupitia tekinologia ya kilakona schools
iii. inarahisisha mawasiliano rahisi na walimu na mtu wa taaluma kupitia mfumo bila wahusika kuonana
iv. mzazi kushiriki ktk kukuza elimu ya mtoto kwa kushirikishwa mzazi anaweza kuona live namna mtoto/ watoto wanavyofundishwa na kushiriki shughuli mbalimbali shuleni kpitia tekinologia ya kilakona schools.
v. mzazi kupata taarifa kwa haraka kuhusu maendeleo ya mtoto shuleni.

faida kwa mwalimu wataotumia tekinologia ya kilakona:
i.mwalimu atakuwa na uwezo wa kutumia tekinologia kufundishia.
ii. mwalimu kukuza uelewa wake kitekinologia
iii. unafuu wa mwalimu kutumia muda mwingi kuandaa notes hardcopy badala yake mfumo unaruhusu softcopy.
iv. mwalimu kuwa karibu na mazizi na mwanafunzi ktk kufundisha. na faida nyingine nyingi

lengo kuu la kilakona schools ni kutumia tekinologia kukuza ustawi wa elimu yetu na uwezo wa wanafunzi wetu ktk kusaidia nchi yetu sisi kama kilakona tunatoa huduma kwa viwango vya juu na kisasa huku kila mdau wetu akishilikishwa katika kila hatua na kufahamishwa namna bora ya kutumia tekinologia kukuza elimu na uwezo wa wanafunzi wetu.

hivyo tunawashauri wamiliki wa shule za awali, msingi, na sekondari kutumia mfumo huu kwenye shule zao ili kukuza viwango na ubora wa shule zao.
tutafute kupitia:

facebook : kilakona schools, isntagram: kilakona school
au tupigie kupitia 0766 250000, 0757563328
karibu.
 
Umeeleza faida kwa wazazi, wanafunzi, shule na walimu mbona sijaona faida mnayoipata nyie
 
View attachment 1674622

Fanya Rebranding. Hilo jina haliko sexy kabisa.

Linasound Utopolo.
 
Back
Top Bottom