Mfumaniwa huyu anatafutwa!

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Bwana mmoja mwenye tabia ya kubeba wake za watu huko Kimara juzi kati amefumwa akiwa na mke wa mtu.

Huyo bwana kachabangwa mabao na kumwagiwa mitusi mbele ya kadamnasi na mwanamke ambaye inasemekana pia ni mke wa mtu.

Habari zimemfikia mume wa mmoja wa hawa wanawake amabye ni rafiki yangu na anamsaka huyu jamaa ili amfanyizie kwa kumwaribia mahusiano ya ndoa yake kwa muda mrefu.

Tumshaurije huyu bwana anaye msaka mtuhumiwa wake maana anahasira na aweza fanya maangamizi na kujikuta anaingia pabaya?
 
Adeal na huyo malaya wake asiye tosheka, maana kumtafuta huyu jamaa atafanya murder bure aishie jera na kumuacha huyo malaya akila maisha.
 
Adeal na huyo malaya wake asiye tosheka, maana kumtafuta huyu jamaa atafanya murder bure aishie jera na kumuacha huyo malaya akila maisha.

Ni wazo zuri, mkewe anadeal naye lakini anataka pia kumkomesha huyu mtu maana ni kipanga wa wake za watu
 
Kimara kuna nini?Leo kuna mtu ame'post kwenye facebook wall yake kuwa kuna jirani yake amefumwaniwa na mme wa mtu......could this be the same case?
 
Kimara kuna nini?Leo kuna mtu ame'post kwenye facebook wall yake kuwa kuna jirani yake amefumwaniwa na mme wa mtu......could this be the same case?

Ya wezekana, maana nasikia ilikuwa zinga la toimbwili wanawake wote wawili walifanya mbaya. Mmoja alimtandika jamaa makofi ya nguvu na mwingine alivunja machupa hovyo hovyo!
 
Anamatafuta wapi??? Wakati huyo mwanamke wake anajua aliko??? Mwambie amuulize mkewe
 
watu wengine hamnazo kweli, ww mkeo katoka nje ya ndoa eti umtafute aliyemtoa nje ya ndoa.....kama umeshindwa kummiliki mkeo acha watu wammege.
 
Ni wazo zuri, mkewe anadeal naye lakini anataka pia kumkomesha huyu mtu maana ni kipanga wa wake za watu

Huyo kipanga alikuwa hajakutana na watu wenye hasira mbaya.....wangemfanya mbaya sana tena kimya kimya, ashukuru sana mpaka hapo amefumaniwa.
 
Mwambie huwezi kuzuia wavuvi kuvua samaki kwa kulinda bahari. Ukizuia pwani ya kigamboni wanaenda kuvua bagamoyo. Akienda bagamoyo watavua hata kwenye kina kirefu cha bahari.
Mwambie bahari humkimbiza muvuvi kwa kutotoa samaki. Kwani anauhakika anayemchukulia mke wake yupo huyo tu? Amdhibiti mke wake (bahari asitoe samaki) na siyo mgoni. Halafu, anauhakika gani kama kweli anamchukua mkewe wakati hajamkamata live.
Jela haijai. Atakufa anaacha wengine wanaenda huko.
 
bwana mmoja mwenye tabia ya kubeba wake za watu huko kimara juzi kati amefumwa akiwa na mke wa mtu.

huyo bwana kachabangwa mabao na kumwagiwa mitusi mbele ya kadamnasi na mwanamke ambaye inasemekana pia ni mke wa mtu.

habari zimemfikia mume wa mmoja wa hawa wanawake amabye ni rafiki yangu na anamsaka huyu jamaa ili amfanyizie kwa kumwaribia mahusiano ya ndoa yake kwa muda mrefu.

tumshaurije huyu bwana anaye msaka mtuhumiwa wake maana anahasira na aweza fanya maangamizi na kujikuta anaingia pabaya?

ushauri gan wakati ushatoa hapo juu mfumaniwa anatafutwa ...na yeye akafumanie
 
Bwana mmoja mwenye tabia ya kubeba wake za watu huko Kimara juzi kati amefumwa akiwa na mke wa mtu.

bwana kachabangwa mabao na kumwagiwa mitusi mbele ya kadamnasi na mwanamke ambaye inasemekana pia ni mke wa mtu.

Habari zimemfikia mume wa mmoja wa hawa wanawake amabye ni rafiki yangu na anamsaka huyu jamaa ili amfanyizie kwa kumwaribia mahusiano ya ndoa yake kwa muda mrefu.

Tumshaurije huyu bwana anaye msaka mtuhumiwa wake maana anahasira na aweza fanya maangamizi na kujikuta anaingia pabaya?
mwanamke anakosa mana hajamwambia mumewe kama hatosheki,sasa nje ndo kaona soln.dawa mwanamke apigwe chini.
 
Anamatafuta wapi??? Wakati huyo mwanamke wake anajua aliko??? Mwambie amuulize mkewe

Amemtega cku nyingi na sasa anatafuta jinsi ya kumtenda na yeye, awe ameachana na mkewe au la yeye anataka kulipiza maumivu aliyoyapata kwa muda katika ndoa yake
 
mwambie apigane na maisha aachane na wapuuzi mwisho wa siku majuto ni mjukuu.
 
mwambie apigane na maisha aachane na wapuuzi mwisho wa siku majuto ni mjukuu.

Nimejaribu kumsihi cku nyingi but naona anamsimamo mkali sana anahasira na huyo baba anayetumia pesa kulaghai wake za wenzie
 
Hivi unamtafuta mtu alietembea na mkeo ili iweje? unajua kwamba mwanamke mpaka anatembea na mtu anakua amedhamiria hasa au hujui hilo? ni bora wanaume ni tamaa zaidi then baada ya muda anajitambua. Sasa badala ya kudeal na mke wake anaekipeleka na kukichanua anaanza kumtafuta mtu anaepelekewa, hana shughuli za kufanya nini huyo jamaa yako? mwambie aache ujinga
 
Nimejaribu kumsihi cku nyingi but naona anamsimamo mkali sana anahasira na huyo baba anayetumia pesa kulaghai wake za wenzie

Analaghaiwa mtoto wa shule wewe, huyo mwanamke mzima mpaka ameolewa unasema analaghaiwa? ni tamaa zake za kushindwa kuridhika na mumewe na huyo jamaa yako amechukua mwanamke ambae si size yake, mke anataka makubwa wakati yeye hawezi kumtimizia, mwambie asubiri ubavu wake, huo amekwapua wa mwenzie
 
Maty nakubaliana na wewe kabisa
 
Back
Top Bottom