Mfanyakazi wangu wa ndani wa kike kakutwa na maambukizi ya UKIMWI

Ushauri kwa ninachoona kinachoelekea kwa baadhi ya wachangiaji Waganga

Kuna baadi ya Post hapa zinaonekana kama ni za Waganga wa Tiba asili ila wapo kwenye kivuli fulani.
Na ni Colapo ya ya wachangiaji Capital na Deception

Hapa ni mtego ambao wao wapo kibiashara zaidi,na hii ni kutumia maradhi ya wenzao kama chanzo cha kupatia pesa.
Mnakuja na nahau nyingiiiiiii za loliondo.
Na hii ni kwa kuona kwamba Waathirika wengi wameishakata tamaa,basi kila wanaloambiwa wao watafuata.Sasa hawa jamaa target yao ni kwamba watu wa wa PM ili huko ndio wakapigwe vizuri na Tiba fake Mbadala.

Wewe Doctor ameishapima,nyie mnakuja na mauzauza mengine ya kwenu,tatizo ni kwamba mna fikra za kizamanai juu ya Ukimwi na wakati sasa kuna fikra mpya juu ya Ukimwi na Vipimo vyake.

Hembu fanyeni kazi mpate pesa halali,na na sio kuhadaa watu na Tiba zenu za ajabu na kujifanya watabibu na washauri wa tiba za Waathirika.
 
Fuata ushauri wa Capital si busara kumrudisha haraka hivyo, ukweli wa tatizo unahitajika na halafu utajua uhalisi, utamshauri na hata waweza kumrudisha kwao pasipo kumnyanyapaa. Sisi wote ni binadamu na hilo si kosa lake anahitaji msaada kwa watu wanaomzunguka.

Msaidie Mungu atakuzidishia sehemu nyingine.
 
Yaani wewe ndiye mchangiaji pekee niliyemuona humu ambaye unatumia ubongo wako kihalali.Wengine si rahisi kukuelewa hadi pale nao watakapoanza kutumia ubongo wao kihalali.

Ni kweli bado tuna watu wengi ambao ni wajinga na wavivu wa kufikiri.Keep it up mkuu.

Thanks mkuu.. watu wengi hasa waafrica wanaamini kinachosemwa na mzungu tu.... ndio maana hawajitambui. Tuendelee kuwaelimisha wenzetu ili waijue kweli ili wapate uhuru. Story ya HIV watu hawataielewa hadi mzungu aje tena kuwambia vinginevyo..

Asante kaka..
 
Kigogo Really?..unajuaje kaambukizwa kwa ngono pekee?
mwambie arudi kwao ana ukimwi na hakuna namna unaweza kukaa na mtu mwenye kuugua ukimwi kwa kuwa ni hatariii vibaya sana ..pia mwambie kapata ukimwi kwa kufanya uzinzi kabla ya ndoa na hayo ndio malipo yake .kwa hiyo arusi kwao asubiri kufa tu
 
Last edited by a moderator:
Ushauri kwa ninachoona kinachoelekea kwa baadhi ya wachangiaji Waganga

Kuna baadi ya Post hapa zinaonekana kama ni za Waganga wa Tiba asili ila wapo kwenye kivuli fulani.
Na ni Colapo ya ya wachangiaji Capital na Deception

Hapa ni mtego ambao wao wapo kibiashara zaidi,na hii ni kutumia maradhi ya wenzao kama chanzo cha kupatia pesa.
Mnakuja na nahau nyingiiiiiii za loliondo.
Na hii ni kwa kuona kwamba Waathirika wengi wameishakata tamaa,basi kila wanaloambiwa wao watafuata.Sasa hawa jamaa target yao ni kwamba watu wa wa PM ili huko ndio wakapigwe vizuri na Tiba fake Mbadala.

Wewe Doctor ameishapima,nyie mnakuja na mauzauza mengine ya kwenu,tatizo ni kwamba mna fikra za kizamanai juu ya Ukimwi na wakati sasa kuna fikra mpya juu ya Ukimwi na Vipimo vyake.

Hembu fanyeni kazi mpate pesa halali,na na sio kuhadaa watu na Tiba zenu za ajabu na kujifanya watabibu na washauri wa tiba za Waathirika.

Pole mkuu.. argument yako siyo valid wala si sahihi.. Mimi binafsi si mganga na wala sina maslahi yoyote kuhusu tatizo alilo nalo mwenzetu.. na wala sitatumia taaluma yangu abdan kumpotosha mtu.. nilichoandika ni kitu rahisi sana. Ili ukitambue na uelewe yakupaswa akili yako iwe huru (not compromised) vinginevyo unapoteza muda. Napenda kusisitiza kuwa ni kweli tuko na shida kama jamii ila hatuna mbinu wala nyenzo za kutatua shida zetu.. hii ni kwa sababu hatuyafaham vyema mazingira yetu kwa hiyo hatuna solutions za changamoto zilizomo kwenye mazingira husika..

Tusiwe wavivu.. tufikirie ndio maana sisi binadam tuna akili kuliko kiumbe chochote kile

Asanteni
 
Hawa watu wakati mwingine unaweza waacha na kuanza doz lakini siku akikorofishwa anaweza lipiza kwa familia maamuz ya busara yanahitajika waweza mrudisha lakini chagua njia sahihi ya kumrudisha
 
leroy

Mpeleke kwa nabii Mwingira tu hapo karibu aponywe kwa jina la yesu, Yote yawezekana kwake yeye aaminiye - Ukimwi si bwana wa yote bali Jina la Yesu ni Bwana wa Yote, Mpeleke tu, hilo ni jambo dogo tu likitumika neno la imani
 
Last edited by a moderator:
Ushauri kwa ninachoona kinachoelekea kwa baadhi ya wachangiaji Waganga

Kuna baadi ya Post hapa zinaonekana kama ni za Waganga wa Tiba asili ila wapo kwenye kivuli fulani.
Na ni Colapo ya ya wachangiaji Capital na Deception

Hapa ni mtego ambao wao wapo kibiashara zaidi,na hii ni kutumia maradhi ya wenzao kama chanzo cha kupatia pesa.
......

Tayari umeshajiingiza kwenye mabishano na umeshasahau kwamba tuko kwenye majadiliano.Kama ukiona huna uelewa unaweza kukaa kimya,hapa tunapigania uhai wa mtu,na njia pekee ya kuokoa uhai wa huyu binti ni kutoa elimu ya kweli kuhusu HIV/AIDS tofauti na ile uielewayo wewe kutoka kwenye kampeni za HIV/AIDS zile unazozisikia kwenye vyombo vya habari.Usilete siasa,lete hoja za msingi/kisayansi.

Wale wanaofadhili zile kampeni ndio wako kibiashara zaidi,kwa kuwa wanauza ARVs.Je,unaweza kuwaambia watu mimi nauza nini?Nilishatoa angalizo mwanzo kwamba mimi siko kibiashara kwa kuwa nilishajua kwamba kuna watu kama ninyi mtakuja kuharibu mantiki ya uzi.Hebu muulize mleta mada huko PM kama ninajadiliana naye kuhusu biashara yoyote.

Kumbuka kwamba sisi binadamu tumepewa ufahamu/akili ili tuitumie,na ufahamu huu ndio unaotutofautisha kati yetu na viumbe wengine kama vile ng'ombe nk.Hatutakuwa tofauti na ng'ombe kama tutashindwa kutumia ufahamu/akili tuliyonayo.

...Nitakupa ushauri wa bure nini cha kufanya,sitahitaji fedha kwa kuwa sifanyi biashara hapa.

Kwanza nahitaji utayari wako halafu ndio nianze kukupa elimu,hii ni kwasababu elimu hii ni nzito sana kiasi cha kuwa vigumu kupokelewa na ubongo wa walio wengi.Ukiwa tayari nipe taarifa.

Karibu.
 
Pole mkuu.. argument yako siyo valid wala si sahihi.. Mimi binafsi si mganga na wala sina maslahi yoyote kuhusu tatizo alilo nalo mwenzetu.. na wala sitatumia taaluma yangu abdan kumpotosha mtu.. nilichoandika ni kitu rahisi sana. Ili ukitambue na uelewe yakupaswa akili yako iwe huru (not compromised) vinginevyo unapoteza muda. Napenda kusisitiza kuwa ni kweli tuko na shida kama jamii ila hatuna mbinu wala nyenzo za kutatua shida zetu.. hii ni kwa sababu hatuyafaham vyema mazingira yetu kwa hiyo hatuna solutions za changamoto zilizomo kwenye mazingira husika..

Tusiwe wavivu.. tufikirie ndio maana sisi binadam tuna akili kuliko kiumbe chochote kile

Asanteni

Unajua mkuu,ili watu waelewe ukweli huu inatakiwa lianzishwe somo lake na mtaala wake kabisa mashuleni ili ku 'reverse' kile ambacho watu wanakijua sasa,hii ni kwa sababu kuna mambo mengi sana ambayo watu wanahitaji kuyajua ili kuunganisha 'dots'.Si rahisi wakafahamu mambo haya kwa muda mfupi.Watu wanaogopa HIV na kukimbilia ARVs ambazo ndio kifo chenyewe.

Kuna baadhi ya maeneo hasa Afrika,watu wanatumia ARVs kama dawa za kulevya kama ilivyo kwa heroin nk.Wanazisaga ARVs na kuzivuta ili ziwape hisia kama zile wanazozipata kwenye heroin au cocaine.Sasa watu wengi hawajui hili jambo.Kwa maana hiyo ARVs nazo ni addictive kama zilivyo cocaine na heroin.Hivyo basi,ARVs zinapotumika kwa muda mrefu husababisha AIDS na dalili zinazoendana nazo, na mtumiaji anapoacha ghafla kuzitumia anaweza kupoteza maisha kiurahisi kutokana na addiction ya ARVs.Watu hawajui kwamba ARVs nazo zinasababisha addiction kama zilivyo dawa nyingine za kulevya hivyo inabidi kufuata utaratibu unaofanana na ule unaotumika kuacha heroin au cocaine ili kuziacha.

Sasa watu hawajui mambo kama haya halafu wanakurupuka kupinga tu bila kuhoji.Tuna safari ndefu sana mkuu.
 
Mwanzishie dozi kuwa nae Karibu.. jaribu kuvaa viatu vyake Ili uweze kuwa sehem ya Faraja kwake. .. we are to solve problem
 
Sijui kipatochako..ila kama ningekuwa ni mimi ningemrudisha na kuweka commitment ya kugharamia matibabuyake yote kupitia insurance (NHIF ni laki moja tu kwa mwaka)..asiposhukuru kwa hilo tena basi..hapo ndo mwisho wa msaada
 
leroy, tangu lini majibu ya wenyewe akapeanwa mtu baki? Na ilikuwaje mkapima afya ya mtu bila ridhaa yake? Yote tisa kwanini uanike majibu ya mwenzako hapa... Maanake ni kuwa mtu anayekujua humu akija kwenu anajua kuwa hausigeli wako ana UKIMWI. Oh nimesahau... Ni kosa kisheria pia!

Sijui shule mlienda kusomea ujinga?

aione: FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
mwambie arudi kwao ana ukimwi na hakuna namna unaweza kukaa na mtu mwenye kuugua ukimwi kwa kuwa ni hatariii vibaya sana ..pia mwambie kapata ukimwi kwa kufanya uzinzi kabla ya ndoa na hayo ndio malipo yake .kwa hiyo arusi kwao asubiri kufa tu

siamini kama dunia ya leo kama bado kuna watu kama wewe aisee. inamaana hujui kama kuna njia mbalimbali za maambukizi ya ukimwi na sio ngono peke yake??? kwann unamshambulia mtu kwa uzinzi pasipo kujua? ata kama kweli kaupata kwa njia hiyo vp we hujawahi kufanya ngono isio salama ata mara moja! vp kama ungeupata na tukakunynyapaa hivyo? "eti ni hatari kukaa na mwathirika" hapo kwako au kwenu umewapima wote? unajua afya zao?
badirika ndgu yangu usinyanyapae wagonjwa wa ukimwi amini bado ni ndugu zetu na pengine wana maisha marefu kuliko sisi.
hujafa hujaumbika mtwana.
 
-Mkuu mimi ni mtu mwenye ndoa na heshima zangu, au siku hizi JF ni pango la wazinzi na waasherati?
Nimekuja kuomba ushauri tu.

Kuna baadhi ya watu hapa JF majibu yao ya Karaha, Kejeli na Matusi juu, hawaangalii muomba ushauri ameathirika kiasi gani na tatizo mpaka kufika hapa, wao wanaleta mzaha mzaha tu, tungejitahidi kuwa wakarimu, wenye huruma na msaada pale inapowezekana, kama mada huielewi au inakupotezea muda ipotezee kuliko kutoa majibu ya karaha wakati tayari unaemwambia ana karaha ilomleta hapa kutafuta ufumbuzi, nawakilisha tu kama nimewakwaza samahani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom