Na wanaobeti.Bado kuanzisha "TIN" za waliopo kwenye ndoa.
Ila nadhani itakuwa ngumu sana hasa kwa sector binafsi, wangerekebisha kwanza mifumo ya uajiri.Private sectors walisha peleka Tin tangu mwezi March/April
Kimsingi hizo ni utambulisho tu kuwa mfanyakazi ndiye amelipa kodi na sio taasisi/kampuni kwa kuwa wewe ndiye unakatwa mshahara wako
Pia itasaidia serikali ukusanyaji wa mapato kwani wakiona mtu fulani hajatoa kodi itabidi taasisi/shirika liulizwe kwa nini?
Lakini pia kukiwa na taxi exemption mfanyakazi anaweza kunufaika kwani sasa ataweza kuthibitisha kuwa, yeye ni miongoninwa walipa kodi wazuri. Kumbuka kuna watu wanalipa kodi ya mshahawa sawa au zaidi ya baadhi ya wamiliki wa maduka ya Whole sale..sasa kwa nini nayeye asinufaike ikitokea fursa ya tax exception
Tin no ni usajili wa mlipa kodi yeyote na kwa kuwa wafanyakazi wanalipa kodi wanapaswa kuwa nayo ni mawazo yangu lkn mkuu
Kodi ambayo mfanyakazi analipa kama mfanyakazi, ni PAYE. Hii wala haina shida na haikwepeki. Serikali inaikata mapema kabisa.Tin no ni usajili wa mlipa kodi yeyote na kwa kuwa wafanyakazi wanalipa kodi wanapaswa kuwa nayo ni mawazo yangu lkn mkuu
Duuh, pesa imeadimika sana.Kuna wengi hawalipi kodi Kwa hiyo hii ni kuhakikisha wanaksanya na kukwangua kila mahali
Mkuu hili suala linatia hofu sana.Kodi ambayo mfanyakazi analipa kama mfanyakazi, ni PAYE. Hii wala haina shida na haikwepeki. Serikali inaikata mapema kabisa.
Mimi nadhani wanataka kutrack mali za wafanyakazi . Kama mfanyakazi ana TIN ya gari alimiliki halafu akauza, mfano, itaonekana. Hasa kama aliuza bila TRA kujua, na kupata mgao wake.
Kwa vyovyote, ni ishara tosha kuwa honeymoon ya uchaguzi imekwisha sasa, ni muda wa kamatakamata. Tutaisoma Namba haswa.
Mitano alijipa mwenyewe, kibabe.Mitano mingine.......
Kuna siku moja niliwahi kuropoka mahali fulani kuwa kwa kodi ya mapato inayotozwa kwa mtumishi wa umma yafaa apewe na TIN kabisa. Wakati huo kodi yangu ya mapato kwa mwezi ilikuwa sh. 223,000/- hivi. Leo wazo linatembea rasmi.Tin no ni usajili wa mlipa kodi yeyote na kwa kuwa wafanyakazi wanalipa kodi wanapaswa kuwa nayo ni mawazo yangu lkn mkuu
Wanalipa ila hawana utambulisho wa mlipa kodi ambao ndiyo TIN noKwani sasa wanalipaje hiyo kodi?
Duuh, pesa imeadimika sana.
So hawawajui hadi liwe jambo la nchi nzima? Upuuzi huuMi nawewe hatujui ila nachoamini mwisho wa hili utaambatana na kilio kama sio hela za wadaiwa sugu sidhani.
Alafu we jamaa haya mambo ni ya ndani sanaaa. Wewe umejuajeKodi ambayo mfanyakazi analipa kama mfanyakazi, ni PAYE. Hii wala haina shida na haikwepeki. Serikali inaikata mapema kabisa.
Mimi nadhani wanataka kutrack mali za wafanyakazi . Kama mfanyakazi ana TIN ya gari alimiliki halafu akauza, mfano, itaonekana. Hasa kama aliuza bila TRA kujua, na kupata mgao wake.
Kwa vyovyote, ni ishara tosha kuwa honeymoon ya uchaguzi imekwisha sasa, ni muda wa kamatakamata. Tutaisoma Namba haswa.