kabila01
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 4,235
- 4,949
Habari wana jamii
Nimejitokeza na kero hii ambayo imekua ikiwaesa sana wanachuo wa chuo kikuu cha Tumaini Iringa
Kuna mfanyakazi mmoja anafanya kazi ya kutoa transcript za matokeo pale chuoni, kwa kweli dada huyu amekua ni kero sana kutokana na huduma anayoitoa kwa wananchuo.
Anafanya kazi kama vile ofisi ile ni ya mzazi wake
Mtu anafunga safari kutoka dar au Arusha kuja kuchukua cheti chake cha matoke, shughuli inakuja akufika pale ofisini. kila ukienda pale unaambiwa njoo kesho hadi wiki nzima inaisha mtu hajapata cheti chake
pia hata majibu yake ni ya kukatisha tamaa kabisa na ya maudhi.
wanachuo wengi sana utawakuta wapo nje ya ofisi ile kila siku wanalalamika na kupigwa na jua pamoja na njaa
Watu wanavyoongea wanadai kiburi cha dada huyu kapewa na mtu mwenye cheo kikubwa sana pale chuon ndo maana anawaona wananchuo kama mijibwa pori
Tunamuomba huyo mkubwa anaempa kiburi ampe counselling huyu dada vinginevyo next time nae tunamtaja coz data tunazo na tunamfaham
atu wananhitaji huduma nzuri na sio kuwekana kwenu kusiwatese wengine