TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

Romeo,useri karibia na mpaka wa Kenya...watu wengi kule ni ujambaz,magendo hiyo ni asili yao

Ova
Ile boda haijawahi ishiwa magendo,toka enzi za kuingiza bia za tusker na plisner, wakahamia kwenye sabuni na mafuta ya taa na ya kula (bidco) na sasa ni mwendo wa bati na cement maana bati ya kenya ni bei rahisi na haipauki, cemnt pia ni buku 12 tu za k i tz. Wakati ya bongo ni 18
 
Bro humjui huyo mzee. Nenda mahakama ya ardhi pale kinondon ulizia ana kesi ngapi za kudhulumu ardhi. Pale mbezi kamdhulumu mama mmoja mjane mpaka amekufa juz juz hajapata haki yake. Ninachosema umeokoka tangaza kama kuna mtu nimemdhulumu au kumuibia aje nimrudishie chake Mzee. hakuna Mungu anaeibia watu haki zao . Mali nyingi kaachia kanisa acheni utan nyie. Kaachia taasisi au kanisa? Mzee mpaka kisukar kinamzidia alikuwa anawadhulum watu.
Watu wanaokoka mali za watu hawarudishi 😄
 
Bujugo alishafariki,kuhusu hiyo shule ya Misenyi sijui ila Bujugo alikuwa mfadhili wa Bujugo sekondari kijijini kwao.Jina Bujugo siyo lake ni la kijiji.Nasikia zamaji hata yeye

Yesu hakuhubiri sheria ya jino kwa jino.Ina maana usipompata uliyemkosea Yesu hakuokoi? Mtume Paulo ni wapi aliwaomba msamaha aliowatesa? Halafu tunaamini,To every general rule there is an exception.Utapatana vipi na mtu ambaye alishafariki na hakuna ndugu wala jamaa yake? Kasome vema injili ya mwana wa Adam uje ukiri hapa kwa hakika Lesheya yuko mahali pema mkono wa kuume wa baba yetu.Hata kama kupatana na uliyemkosea ni lazima ,una evidence gani kwamba Lesheya hakulitimiza hilo?Mwenzio mali nyingi kaliachia kanisa.
Yote sawa ila sikubaliani na hilo la kutoa mali yako yote kwa kanisa ukitegemea ndio njia ya kwenda huko. Hii ni kama hongo tu haina nafasi kwa Mungu.
 
Mkuu Kitali hivi unaamini hizi story za kijinga hivi za kwenye biblia?

Duh maajabu haya

Halafu akina Kitali ni very brainy nakaa nao jirani Moshi kijijini kule...very very bright
Bro kwanza naomba ufute hiyo kauli ya kuita Biblia ina story za kijinga. Mi ni mtu mzima so siendeshwi na hisia ninao uwezo wa kuamua hatima yangu sihtaji unifikirie kwa niaba yangu. Shida unaifikiria Biblia uliyoletewa na Mzungu umesahau biblical iko hapo Ethiopia kabla hata uzungun so relax mkuu. Wakati mwingine kile unachofikir ni sahihi linaweza kuwa sio sahihi aisee ila mwisho wako wa kufikiri
 
Miaka ya 99 huko nilikuwa na Deal na mbao. Sasa nawashushia sijui dereva wangu akamlegezea mama akachapa, cjui ule mchezomzee walipanga na mama. akajifanya amemfumania dereva. akaacha gar akakimbia. Mzee anajifanya ametaifisha gar na mbao, mi wakati huo nipo iringa huko. Nakumbuka tu nilikuja nikampa account nika mwambia mzee mi kwanza nilishairisha kwenda mbinguni na pili mimba yangu imeingilia bar na nimezaliwa segerea sasa mi nakuachia kila kitu sisi wakibosho pesa tutaifuata muda tunaotaka utanitafuta mwenyewe. Kilichotokea anajua yeye na mkewe kwenye mabanda yao ya nguruwe kule salasala.
Maisha ya Lesheya ni full bongo movie, huu uzi unatosha kutengeneza cinema
 
Bro kwanza naomba ufute hiyo kauli ya kuita Biblia ina story za kijinga. Mi ni mtu mzima so siendeshwi na hisia ninao uwezo wa kuamua hatima yangu sihtaji unifikirie kwa niaba yangu. Shida unaifikiria Biblia uliyoletewa na Mzungu umesahau biblical iko hapo Ethiopia kabla hata uzungun so relax mkuu. Wakati mwingine kile unachofikir ni sahihi linaweza kuwa sio sahihi aisee ila mwisho wako wa kufikiri
Mkuu naona dini ishakuaharibu rationality na uwezo binafsi wa kufikiri tayari

Huwezi kua extreme hivi na kutukana kiasi hiki kisa eti unatetea biblia

Tuseme Mkuu Kitali as you are now,unaweza kunipiga panga sababu tu nimedharau mumbo jumbos za kwenye biblia,halafu kumbuka mi jirani yako wa damu lakini still unaona biblia ni bora kuliko ndugu yako?

Punguza unazi wa kidini,usiweke dini mbele ya ndugu yako,punguza extremism!

Blah blah za Ethiopia mara Uzunguni ni still story hakuna proof zozote kuna supernatural deity au entity from outer space ilikuja dunani ikaleta hizo nonsense za vitabu

Mi nakuomba unapotoa hoja au kuongea na jamii vitu vya kidunia basi chonde chonde jitahidi usipende kuchanganya your personal religion ndani yake kama vehicle ya kusukuma hoja zako,maana tupo watu mbalimbali hapa tunakusikiliza with imani tofauti kabisa na wewe.

Halafu Kitali hawanaga mahasira sana kama wewe bana....plus umri wako ni mali yako binafsi,it got nothing to do with anyone else,and who cares anyways?
 
Umeongea kiingereza Kiswahili nk cjaelewa point yako. Hoja imeanzia kwenye biblia ndio maana inajibiwa kibaibo. Ninachosema ufahamu wako sio tiketi ya mimi kukufuata. So moja ya sababu ya dunia kuwa na aman ni kule kuamin kila mtu yupo sahihi kwenye lile analoona linafaa kwake. Kunilazimisha mimi kuamin unayowaza ndio ujinga wenyewe. Na pia unaweza kumtengeneza Mungu kwa namna ile unayotaka wewe uko sahihi. Ila kusimama mtu mzima mishipa imekutoka sijui hayo maujinga unayofuata ni ujinga kupindukia.
 
Back
Top Bottom