Meya wa London na urafiki na Chadema ni mashaka makubwa

naombeni mwenye liphoto la J.k alilophotoa na mwasisi wa ushoga duniani D.Cameroon
Hii hapa;

Rais-Kikwete-na-David-Cameroun.jpg

 
Candidates+Participate+London+Gay+Mayoral+bfhs44XPWHol.jpg

Candidates Participate In The London Gay Mayoral Hustings
In This Photo: Boris Johnson
Mayor of London Boris Johnson takes part in Mayoral hustings on April 14. 2012 in London, England. The hustings, organised by gay rights charity Stonewall, were held at the BFI Southbank ahead of London's mayoral elections on May 3

(

Huyu ndio Meya wa London wakuu...kesho ndio atakutana na Lema, tajitaidi kuleta picha.
 
Ritz,

..ungemshauri Raisi na Amiri Jeshi wetu asitishe mahusiano ya KIJESHI kati ya TZ na USA.

..USA wameruhusu mashoga kutumikia ktk jeshi lao, halafu sisi wa-TZ tunawaruhusu waje wafundishe askari wetu.

..kwa kweli sikutegemea JK ambaye ni Lt.Col mstaafu wa JWTZ aruhusu jeshi letu kuwa na mahusiano ya kimafunzo na majeshi yanaruhusu ushoga.
 
Tusubiri hicho kikao cha kesho labda Lema kaalikwa kwenye parade!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Tusubiri hicho kikao cha kesho labda Lema kaalikwa kwenye parade!

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama ndio tunasubiri na Meya wa London ndio huyo unavyomuona lazima masharti yake yatimizwe.
 
Last edited by a moderator:
Huyu mtoa mada ameanza na uwezo wa Lema kuongea kiingereza, akaja na helikopta na sasa ameleta hii mada. Najiuliza ana tatizo gani mtoa mada? au ana wasiwasi gani? Tulia mtoto usiwe na mchecheto...... Inaonekana kuna kitu kinawasha
 
Vipi urafiki wa JK na Bush hauna mashaka nao? Urafiki wa JK na H.Crinton(Symbion) vipi? Urafiki wa JK na Obama vipi? JK alialikwa hadi kwenye G8 kwa sifa zipi?. kuna nini nyuma ya pazia kati ya JK (Tanzania) na Wamarekani?
 
Ukimzungumzia mr dhaifu na cameruni unapigwa life mi nlipigwa miezi4 nika,biwa kama sina hoja nikae pembeni
 
Ritz stop being prejudiced on people who are different from you. As long as we have gay people in our societies we should let them be despite our cultural stereotyping.
 
Obama juzi hapa kasema,
anasapoti magay,
Sijaona Kikwete akiacha,
kukinga bakuli lake,
Waziri mkuu wa UK,
anasapo magay,
Bado Kikwete anakwenda,
hata akialikwa kwenye,
semina ya kuvaa kondom.
Hatari iko tu CDM,
wakienda kutembea London?

Hii ni hatari sana inabidi Watanzania mjitokeze kwenye kutoa maoni kwenye tume ya katiba kupinga hii kitu.
 
Yaaanii mmenasakwa kwenye mtege wa huyu kipofu Ritz wakati nchi ina mambo yamuhimu kuyajadiri. Wake up!
 
Uongozi wa Chadema leo ndio tumeambiwa kuwa Lema atakutana na Meya wa London sijui wanakutana kwa sababu gani jana tumeona picha Lema akikagua Chopa ambayo inasemekana ni msaada kutoka kwa Meya wa London, Boris Johnson wa chama cha Conservative, kama tunavyojua maisaada lazima ifuate masharti.
 
Yaaanii mmenasakwa kwenye mtege wa huyu kipofu Ritz wakati nchi ina mambo yamuhimu kuyajadiri. Wake up!

Mkuu jambo hili ni muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu tusipokuwa makini vizazi vyetu vitapotea hivi kweli unasema jambo hili sio muhimu kulijadili unataka siku moja tuwaone watoto wetu wa kiume wikafanya maandamano huku wamevaa kofia za pink, mkuu sio tamaduni zetu hizo kemea hii kitu.
 
Back
Top Bottom