Meya wa London na urafiki na Chadema ni mashaka makubwa

What is your point? Kwani hujui siasa? U sapoti everybody.
Hivi watu wakiwa na relationships basi wanafanana.
Kumbe basi ccm mnasapoti ufisadi coz mafisadi are within u.
 
Uongozi wa Chadema leo ndio tumeambiwa kuwa Lema atakutana na Meya wa London sijui wanakutana kwa sababu gani jana tumeona picha Lema akikagua Chopa ambayo inasemekana ni msaada kutoka kwa Meya wa London, Boris Johnson wa chama cha Conservative, kama tunavyojua maisaada lazima ifuate masharti.

Acha propaganda Ritz.
 
Hapo kwenye Red,
Serikali ya Kikwete ya Chama cha mapinduzi inategemea Cameron Waziri mkuu wa Uingereza ( Siyo kameya ka London) na Obama na wengineo kwa zaidi ya 30%.

Je, hiyo misaada ina masharti gani mkuu? Kama hakuna kwanini ya Chadema ije na masharti.

Nani kasema kuwa meya ametoa msaada? Tatitizo la ccm ni omba omba kiasi kwamba kiongozi yo yote akikutana tu na mzungu, unatega bakuli. Lema kukaa na meya si lazima kutega bakuli.

Dhaifu anakwea pipa kila mara kwenda London kwa Cameron kutembeza bakuli lakini Ritz hujawahi kuwa na mashaka na ukaribu wa hao wawili.
Serikali ya dhaifu inapokea misaada kila mara kutoka serikali ya Uingereza inayoongozwa David Cameron wa chama cha conservative lakini huoni mashaka na misaada mnayopewa serikali dhaifu ya ccm.

Ikitokea tu kwamba Chadema wameweza kuwafikia hao wazungu wanaowaweka mjini basi hapo ndipo mnaanza nongwa na maneno mbofumbofu. Kwa namna ccm mnavyoweweseka kila mkiona Chadema inawasiliana na chama cha conservative ni dhahiri kwamba maisha yenu ni mafupi sana hapa Tanzania.

Halafu msaidie kumwondolea hofu RITZ kuwa katiba ya Chadema inatambua na kuheshimu familia (mwanamke na mwanaume kuoana) iko very clear. Propaganda hizi hazitasaidia kurudisha imani ya watz kwa CCM.
 
ritz unawezahttps://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/hat.gif
 
Hapo kwenye Red,
Serikali ya Kikwete ya Chama cha mapinduzi inategemea Cameron Waziri mkuu wa Uingereza ( Siyo kameya ka London) na Obama na wengineo kwa zaidi ya 30%.

Je, hiyo misaada ina masharti gani mkuu? Kama hakuna kwanini ya Chadema ije na masharti.

Nani kasema kuwa meya ametoa msaada? Tatitizo la ccm ni omba omba kiasi kwamba kiongozi yo yote akikutana tu na mzungu, unatega bakuli. Lema kukaa na meya si lazima kutega bakuli.

Lema na Meya wa London wanakutana kwa sababu gani ebu tufahamishe wewe upo ndani kwenye chama na ile Chopa ambayo Lema kapiga nayo picha kapewa na nani.
 
Mtabishana weeeee lakini turudi kulekule "Nyani.......................
 
Jenerali Ulimwengu alisema waafrika mnadai ushoga sio maadili ya kiafrika, kwani kuombaomba ni maadili ya kiafrika.
 
Ni kipi chenye mashaka hapa, Inashangaza sana kuona watu wanakuwa na mashaka na vitu visivyo na maana na wanaacha mambo ya msingi ya haribike,
 
Kwahiyo Chadema msimamo wao ni Conservative? ambao mara nyingi husimama upande wa matajiri na kutetea matajiri wasitozwe kodi kubwa.
 
Ni kipi chenye mashaka hapa, Inashangaza sana kuona watu wanakuwa na mashaka na vitu visivyo na maana na wanaacha mambo ya msingi ya haribike,

Kweli kupenda kubaya yaani huoni kitu chenye mashaka hapa.
 
Mungu mfalme tunakushukuru kwa kutuletea watu wanaopeleka mbele ukombozi wa Taifa letu.
 
50 Cent Supports Gay Marriage.

“I’m cool. I would like people to actually be happy. Technically, I don’t see where it fits into any religion. The Bible that they would read to marry you, it doesn’t have anything in it that says same-sex. If it does, then I would like someone to point out that interpretation. I’ve encouraged same-sex activities. I’ve engaged in fetish areas a couple times. I’m for it. I’m wondering if I’m bad for promoting it when the president says it’s fine.”

From:
Hip-Hop Rumors: 50 Cent Endorses Gay Marriage, Says “I

50-Cent-Kikwete.jpg

The Game says 50 Cent is gay and 50 replys (SPOOF) - YouTube
 
Lema na Meya wa London wanakutana kwa sababu gani ebu tufahamishe wewe upo ndani kwenye chama na ile Chopa ambayo Lema kapiga nayo picha kapewa na nani.

sasa huu ni wivu wa chopa mh. Ritz, mlitaka wakaibe mabilioni ya EPA! lazima mkubali this is a new era and its growing no stopping it! acheni vyama vya upinzani vijijenge, vikue..

gays and lesbians are all over tz tunawaona na kuwashuhudia mitaani, tena wanajiita publicly kina 'anti so n so', sijawahi ona wala sikia hatua zozote zikichukuliwa dhidi yao.. acheni unafiki
 
Hili la mahusiano ya karibu ya CDM na Meya wa London anaye support gay marriage ni moja,lakini pili na la msingi sana, Watanzania tuwe makini sana na misaada inayotolewa na Waingereza kwa chama ambacho kiko nje ya dola. Chama kilichoko madarakani kuomba ama kupokea misaada ni kawaida sana kwa nchi zinazoendelea. Hii misaada hutolewa kutokana na mahusiano ya kidiplomasia kati ya nchi na nchi,na sio chama na nchi!

Lakini lazima tujiulize chama cha upinzani kupewa misaada na Waingereza,kuna point ya kujadili. Yawezekana kuna promise kati ya makundi haya mawili. Inakuwaje chama kinachojipambanua kutetea rasilimali zetu zisiporwe na Wazungu,kinapewa misaada na hao wazungu,unadhani watakuwa na nguvu hiyo wakishika dola? Na kama wakikataa kutekeleza ahadi,unadhani kuna nini zaidi ya vita ya kupandikiza,tutaweza kuikwepa? Kwa hakika lazima nchi itakuwa na machafuko makubwa sana ambayo kiini chake ni hii misaada mnayochekelea leo! Huo ndio mwanzo wa nchi kuendeshwa kwa remote iliyoko Uingereza na huku tunabaki tu kusema "yes sir". Hata aliyesema katiba ya CDM inaheshimu familia (mwanamke na mwanaume kuoana),hilo halipo,hata hiyo katiba mtaabiwa mchane na mtatunga nyingine,whether you like or not. Isitoshe huwezi kuwa katika same level of confidence na kundi au chama kilichokuingiza madarakani,(ambao ni conservative),lazima ulipe fadhila.
Kuweni macho Watanzania!
 
Ritz unajua kuwa CCM wanamahusiano na chama cha SPD cha Ujerumani?

Unamfahamu meya wa Jiji la Berlin?Anaitwa Klaus Wowertz..

Unajua kuwa huyu bwana yeye sio kusiriki tuu kwenye ndoa za jinsia moja ila yeye mwenyewe ameolewa na yuko na mumewe ?

Usiandike mambo usiyoyajua , SPD SPD.......
 
Back
Top Bottom