Meya wa London na urafiki na Chadema ni mashaka makubwa

hueleweki mashaka yako yapo wapi, kalale huenda ukapata mawazo mazuri ya kuleta hapa.
 
Jamani hivi ni kweli Malawi wana msaada wa Kijeshi kutoka Israel, na je ni kweli Malawi wamenunuwa Jet Fighter za kisasa kutoka Israel?
Hebu tujuzane mapema.
 
Uongozi wa Chadema leo ndio tumeambiwa kuwa Lema atakutana na Meya wa London sijui wanakutana kwa sababu gani jana tumeona picha Lema akikagua Chopa ambayo inasemekana ni msaada kutoka kwa Meya wa London, Boris Johnson wa chama cha Conservative, kama tunavyojua maisaada lazima ifuate masharti.

Mkuu Ritz una uhakika na hili neno ambalo unawaambia mataifa? Ni kweli kwamba Meya ni shoga? Ni kweli kwamba Meya katoa msaada wa Chopper kwa CDM? Kama hayo mawili ni kweli basi sitaki kuuliza la tatu kwa kuwa ni given. Scratch my back I scratch yours. Kwisha khabari.
 
Last edited by a moderator:
Jamani hivi ni kweli Malawi wana msaada wa Kijeshi kutoka Israel, na je ni kweli Malawi wamenunuwa Jet Fighter za kisasa kutoka Israel?
Hebu tujuzane mapema.
Matola usiwe na shaka. Hakuna kitu kama hicho mkuu. TZ tupo imara kama simba
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna mjadala hapa,naomba nipatiwe mwongozo...Inawezekana kabisa niko out of touch na wabongo wenzangu.
 
Inakuwaje hii thread iko hapa jukwaa la siasa?Moderators kama mnapima kinachobandikwa hapa,then kuiachia hii hapa upotevu wa muda na upotoshaji.Yani uhusiano wa chadema na mayor wa london ni wa mashaka kwasababu huyo mayor anasapoti magay.Sasa hizi si porojo na upotevu wa muda bila sababu?Hii ni thread ya kipuuzi na ya kihuni tu,ina maana chama kinaweza kuwa shoga?ama ni porojo tu za kuwaondoa watu kwenye issue nyeti?haya mambo saa nyingine yanaudhi sana.Serikali yetu imeingia mikataba na bado inaendelea kufanya hivyo na hao wanaosapoti uhusiano wa mashoga,sasa pointi hapa ya mleta mada ni ipi?

Naona unataka kujipa majukumu ambayo sio yako wewe upo JF kupanga thread sehemu za kukaa hii ni forum huru waache watu wajadili kama unaona kuna kupoteza muda kuna thread nyingi unaweza kwenda kujadil.

Kuna thread ya Lema kukutana na Meya wa London ina siku tatu kwenye jukwaa la siasa mbona ujawambia mods waitoe...Lema yupo London kwenye masuala ya kisiasa moja ya shughuli ambazo atazifanya Uingereza ni kuonana na Meya wa London kwa ajili ya misaada pamoja na Chopa.

Huyo Meya ndio tunamjadili kwa maslahi ya taifa letu.
 
Mkuu Ritz una uhakika na hili neno ambalo unawaambia mataifa? Ni kweli kwamba Meya ni shoga? Ni kweli kwamba Meya katoa msaada wa Chopper kwa CDM? Kama hayo mawili ni kweli basi sitaki kuuliza la tatu kwa kuwa ni given. Scratch my back I scratch yours. Kwisha khabari.

Mkuu wangu Kimbunga kusoma hujui hata picha huoni? Hivi kweli unaweza kwenda uwanjani kuangalia mpira bila kuwa mshabiki wa mpira?
 
Last edited by a moderator:
Naona unataka kujipa majukumu ambayo sio yako wewe upo JF kupanga thread sehemu za kukaa hii ni forum huru waache watu wajadili kama unaona kuna kupoteza muda kuna thread nyingi unaweza kwenda kujadil.

Kuna thread ya Lema kukutana na Meya wa London ina siku tatu kwenye jukwaa la siasa mbona ujawambia mods waitoe...Lema yupo London kwenye masuala ya kisiasa moja ya shughuli ambazo atazifanya Uingereza ni kuonana na Meya wa London kwa ajili ya misaada pamoja na Chopa.

Huyo Meya ndio tunamjadili kwa maslahi ya taifa letu.

Tunge jadili kwanza hivi vikao vilikuwa na Tija gani kwa Taifa?
5.JPG Boys2MenKikwete.jpg View attachment 61158
 
Naona unataka kujipa majukumu ambayo sio yako wewe upo JF kupanga thread sehemu za kukaa hii ni forum huru waache watu wajadili kama unaona kuna kupoteza muda kuna thread nyingi unaweza kwenda kujadil.

Kuna thread ya Lema kukutana na Meya wa London ina siku tatu kwenye jukwaa la siasa mbona ujawambia mods waitoe...Lema yupo London kwenye masuala ya kisiasa moja ya shughuli ambazo atazifanya Uingereza ni kuonana na Meya wa London kwa ajili ya misaada pamoja na Chopa.

Huyo Meya ndio tunamjadili kwa maslahi ya taifa letu.
Kwahiyo huyo meya atalawitiwa na chadema?Ninachozungumzia hapa ni msingi wa hoja yako.Ukiulizwa kuhusu cameroon kutusaidia serikali yetu.Mbona huoni shida upande huo given that msingi wa hoja yako ni msimamo wa viongozi hao kuhusiana na ushoga?hizi porojo ni za kuondoa watu kwenye issue za maana.
 
Wanabodi, Boris Johnson to attend London gay pride celebrations

Gay-Pride-and-Boris-Johns-001.jpg
London's Conservative mayor, Boris Johnson, attends the gay pride parade in 2008. Photograph: Peter Macdiarmid/Getty Images

Weeks after it emerged that Boris Johnson was scrapping the annual gay pride mayoral reception at City Hall as part of wider cull of events for specific minority groups, it has been announced that the London mayor has decided to take part in tomorrow's gay pride celebrations.
The Conservative mayor will join thousands of revellers on the streets of central London to mark the contribution of gay people to life in the city.
Johnson raised eyebrows among some in the gay community when his deputy mayor, Richard Barnes, announced last month that the City Hall pride reception was being scrapped.
Instead, the mayor has scheduled a series of "borough community receptions" which will involve representatives from different minority and community groups by geographical area.
He believes the switch will bring people together rather than focusing on what is "different".
Johnson was not originally scheduled to make an appearance at the London gay pride celebrations, but has cleared his diary to help kick off proceedings when the parade begins.
His transport advisor, Kulveer Ranger, will be one of the speakers at the pride festival, in Trafalgar Square.

Conservative Conference ‘Gay Pride’ party

BorisGayPride2_1435616c.jpg
Boris marches at London Gay Pride

ndo mwisho wa story?
Nilitegemea more than this...
 
Angeenda nape au wilson mukama au january makamba, pasingekuwa na hofu, eti eeeh, ritz, ni kweli?????
Kweli mtindio wa ubongo ni mbaya
 
Kwahiyo huyo meya atalawitiwa na chadema?Ninachozungumzia hapa ni msingi wa hoja yako.Ukiulizwa kuhusu cameroon kutusaidia serikali yetu.Mbona huoni shida upande huo given that msingi wa hoja yako ni msimamo wa vionvozi hao kuhusiana na ushoga?hizi porojo ni za kuondoa watu kwenye issue za maana.

Hayo maneno unayasema wewe mie sipo huko...jukwaa la siasa kuna thread zaidi ya 30 hii thread moja tu ndio ikufanye usijadili mambo yako ya msingi.
 
Duh kumbeee ... Inawezekana Lema na yeye anasubiri parade ...
 
Cha ajabu nini haswa, mbona hujawa na mashaka makubwa na Dhaifu dhidi ya Cameron- na anavyojipeleka- peleka na kucheka cheka ??? Na je Mbatia mpaka akapewa ubunge wa upendeleo ilikuwaje, maana dogo tunamjua vizuri tangu akiwa pale kitivo cha sayansi !!!

Kheeee Mbatia...................
 
Hii ni hatari sana inabidi Watanzania mjitokeze kwenye kutoa maoni kwenye tume ya katiba kupinga hii kitu.
Dhaifu ndiye kinara wa kuombaomba, na madhara yake yanajionesha dhahiri. Uwezo mdogo wa wa kuchanganua mambo na udhaifu katika uamuzi ndio sababu ya kulazimishwa kutii tamaduni potofu, mfano uarabu = uvivu + kutegemea misaada, uzungu = kuchukuliwa rasilimali zetu bure + ushoga, na kadhalika. Mpaka siku tutakapowang'oa hawa wavivu wa kufikiri wanaoishi wakidhani kwamba maisha ni misaada, na kwamba sisi ni masikini, ndipo ufedhuli huu utakapoisha.
 
Back
Top Bottom