East African
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 704
- 989
Ndiye Mbunge wa Arusha mjini 2020 hutaki unaacha
Mtu mwenye Akili timamu hawezi kubaki CCM.Mtu makini hawezi kukaa Chadema.
Kumchinja kobe yataka timingKwanini ham kumfukuza mapema?
Sawa.Wadau bila kupoteza muda.
kalisti Lazaro ambaye alikuwa Meya wa Arusha kupitia CHADEMA sasa naona anakwenda kugombea Ubunge kwa ticketi ya CCM na atampiga Lena mweleka usio na kifani.
Anayebisha anaruhusiwa kutokwa povu kadri awezavyo.
Nabii nimemaliza kazi yangu ya kutabiri.