Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,799
Xavi na iniesta wanaheshimika sana barca kuliko hata huyo dinhoNamjuwa sana tu Mkuu!
Xavi na iniesta wanaheshimika sana barca kuliko hata huyo dinhoNamjuwa sana tu Mkuu!
Xavi na iniesta wanaheshimika sana barca kuliko hata huyo dinho
Haloo!! Wakuu, Napenda kukutakieni YOTE MEMA, katiki msimu huu wa Sikukuu ya Xmass na Mwaka Mpya, 2018. MBARIKIWE DAIMA
Wakibisha achana naoSoon watakuja kukupinga, tena bila ushahidi wowote na ukiwaomba wakuletee wanakujibu "Gaucho namba ingine ile, ana madoido mengi" na ukiwaomba alipo top 10 hawakuletei,, wanajuwa hana kitu basi ni kujifariji tu huwa nabaki kucheka aise,,,mkuu yaani imefikia huyo mauno/gaucho anafananishwa eti na Mfalme wa mpira/Messi kuwahi kutokea katika uso wa dunia yani hizi ni dharau kabisa...ni kama uwalinganishe tembo na sisimizi ni yupi mkubwa...yani TEMBO NI MFALME NA SISIMIZI NI GAUCHO
Mara nyingi wanaosema gaucho bora kuliko mess hawajamuona gaucho zama zakeSoon watakuja kukupinga, tena bila ushahidi wowote na ukiwaomba wakuletee wanakujibu "Gaucho namba ingine ile, ana madoido mengi" na ukiwaomba alipo top 10 hawakuletei,, wanajuwa hana kitu basi ni kujifariji tu huwa nabaki kucheka aise,,,mkuu yaani imefikia huyo mauno/gaucho anafananishwa eti na Mfalme wa mpira/Messi kuwahi kutokea katika uso wa dunia yani hizi ni dharau kabisa...ni kama uwalinganishe tembo na sisimizi ni yupi mkubwa...yani TEMBO NI MFALME NA SISIMIZI NI GAUCHO
Mara nyingi wanaosema gaucho bora kuliko mess hawajamuona gaucho zama zake
Gaucho ni mchezaji aliyecheza kwa ubora juu katika kipindi kifupi sana naweza ufananisha muda wake wa kutamba sawa na wa Recardo Kaka japo yeye alikuwa na ubora juu ya kaka ila tu naamini wengi wanaomsifia hawajamuona ni story tuKumbe na wewe umeliona mkuu
Hakuna bora hapo. Bora ni kula na kufanya ibada.Messi better than Ronaldo - Cole
Chelsea's Joe Cole says Barcelona's Lionel Messi is ahead of Manchester United star Cristiano Ronaldo as the best player in the world.
Source: BBC Sport|Football
Mimi binafsi nakubaliana kabisa na maneno ya Joe Cole hapo juu, Messi anatisha!