Bro, massege haina maana yeyote ni upotoshaji mtupu kwa umma wa kiislamu. Hatuhesabu watu ili kujua idadi ya waslamu na wakristo,wagogo au wanyamwezi, wachaga au ... bali ni kujua idadi ya watu kwa mipango ya maendeleo. Huu ushindani kwa kiimani hautasaidia bali kuongeza mvutano usio wa lazima ktk jamii yenye kuvumiliana hasa tz.
Mmh Kaka pole sana kwa kukomaa na Negative thinking pekee. Mie nimezoea kuona uki google nchi yeyote unayoijua wewe utakuta takwimu zilizowekwa lazima pia zitabainisha wakristo,waislam,wapagani,wahindu etc ni wangapi. Sasa mie nashindwa kukuelewa ni kweli ulichokiandika ndiyo understanding yako au umeandika matwaka ya mtu? Kwani tatizo liko wapi kama wakikiweka hicho kipengere? kaka ivi unajua kama katiba ya sasa inakuruhusu wewe kama raia kuilazimisha serikali yako kukupatia information ambazo mnaamini kupitia serikali pekee ndio kunaweza patikani information sahihi? wala sidhani kama kuwekwa kwa kipengere hicho cha dini eti lile lengo unalolidhania kuwa ndio lengo la sensa kama litakuwa limefutika. kipengere cha dini just ni nyongeza ya takwimu sisi kama taifa tunazihitaji. na hii ni kupunguza usumbufu wa kufanya sensa mbili mbili, thats why tunataka kipengere hicho kiwepo. nakushauri uwe unafanyia kazi mambo halisia na siyo dhana. naomba unijibu hivi wewe kama raisi mfano uulizwe, kwenye nchi yako kuna watu wa dini tofautitofauti hebu tupe takwimu zao kwa mujibu wa dini zao, nini utajibu?kumbuka wakati unaulizwa swali hilo umemaliza kufanya sensa nchi nzima. HOJA ISIYO WEZA KUCHAKACHULIWA NA AMBAYO KILA MMOJA WETU NAFSI YAKE INAMSUKUMA KUJUA UKWELI NI JUU WA IDADI YETU SISI KAMA WATANZANIA KWA MUJIBU WA IMANI ZETU KUU TATU, UISLAM,UKRISTO,NA UPAGANI na za kigeni UHINDU. mR nSIMBA WHERE IS THE PROBLEM?